Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

Wale wenye sintofahamu tumia ratiba hii kama muongozo kujua majina yatatoka lini eneo ulipo, farehe ya usahili na tarehe ya zoezi.
juzi nimemsikia sa100 akisema uchaguzi wa serikali za mtaa ni mwezi wa 11. lakn hii ratiba inaonesha kuna mikoa majina yatatoka mpaka mwezi december, na mingine mpaka January next year. how comes?
 
juzi nimemsikia sa100 akisema uchaguzi wa serikali za mtaa ni mwezi wa 11. lakn hii ratiba inaonesha kuna mikoa majina yatatoka mpaka mwezi december, na mingine mpaka January next year. how comes?
Uchaguzi serikali za mitaa hauhusiani na uchaguzi mkuu.

Huwa na daftari lake katika vitongoji/mitaa na vijiji ambapo wananchi huchagua wenyeviti wa vitongoji mitaa na vijiji. Zoezi linalo endelea sasa ni uboreshaji wa daftari la uchaguzi mkuu madiwani, wabunge na Rais
 
juzi nimemsikia sa100 akisema uchaguzi wa serikali za mtaa ni mwezi wa 11. lakn hii ratiba inaonesha kuna mikoa majina yatatoka mpaka mwezi december, na mingine mpaka January next year. how comes?
Uchaguzi wa serikal za mitaa hausimamiwagi na tume....huo unahusika na TAMISEMI...(tawala za mikoa na serikal za mitaa) ,tume ya uchaguzi unadil na uchaguzi wa madiwani wabunge na urais ambao ni mwakani...
Zoezi la uandikishaji linaenda kwa awamu na kwa sasa mikoa ambayo ni tayari ni
Kigoma
Tabora
Katavi
Kagera, na
Geita....
Mikoa inayojiandaa na uandikishaji mda huu ni
Mwanza , na
Shinyanga

Zoezi la uandikishaji linaenda kwa awamu na zamu ikifika mkoani kwako taarifa zinatoka na majina yanabandikwa kwa watendaji wa kata ambako nafasi zilitangazwa....hivyo tuweni na subira
 
Back
Top Bottom