Wale tuliopigwa fix mbalimbali zamani wakati bado tupo zama za giza bila internet tukumbushane fix mbalimbali


= SHELL

Hata hizo nyingi zilikuwa za watu binafsi kasome kuhusu "franchise" utanielewa.

Mpaka sasa pia kuna baadhi zina majina aina moja chini ya "franchise".
 

6. Kusimika/kushikilia fimbo wima wakati mbuzi/ng'ombe/Kondoo n.k anazaa, hataweza kuzaa. Ilibidi fimbo uilaze chini
 
Ukiwa umekaa halafu mtu akasimama pembeni yako anakuwa anakunyonya damu [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
6. Kusimika/kushikilia fimbo wima wakati mbuzi/ng'ombe/Kondoo n.k anazaa, hataweza kuzaa. Ilibidi fimbo uilaze chini
Mkuu naunga mkono hoja..pia kupinga Ndiki..

Mbwa akiwa anakunya ukapinga vidole Kwa kuvivuta dimvi Lina mbana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…