Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unanikumbusha Pugu Boy.
 
Alafu ile iansababishwa na maji ua chumvi pumbu linaliwa ngozi yote linakuwa kama mtoto wa panya mwenye siku mbili. Mademu walikuwa wanajikuna kinoma anajidai kama anachomekea shati anajikuna fasta anakausha
[emoji23] [emoji120] [emoji23] [emoji120] [emoji23] [emoji23]
 
Umenikumbusha mbali sana kipindi nipo o level Ndala sekondari shinyanga aisee si tulikuwa tunauita PUMBU DISEASE yaani pumbu linatoka ngozi linakuwa jekundu hatari mi nliugua nikawa navaa bukta halafu natoa pumbu nje ndo navaa suruali ya shule aisee huu ugonjwa ni mateso.
 
eeh nia njema sec tulikuwa tunaielewa hio kitu kwa jina la pumbu jero,,,,
nakumbuka wa kidato cha nne walikuwa wanapenda kulala deka ya juu ili walale uchi kaupepo kaingie vizuri ,,,
 
La saba mie nijulie wapi hayo mambo ya boarding poumbou erosion?? Embu tiririkeni nijue ukoje huu ugonjwa na kama ukinipata nijue nafanyaje wakuu
Kaka yangu wew mvulagizi
 
Ukija kwenye harufu sasa!Balaa zaidi Mavuluvuza yote yalikuwa yanabadili rangi yanakuwa ya njanoooo.Pumbu inabanduka kama chapati iliyokosewa kukandwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] yeuwiiii
 
Hiyo kitu ni hatari, inatafuna Pumbu sijawahi kuona.

Ila ikiisha pumbu linakuwa jipya kabisa. Linang'aaa alafu soft kinyama. Hahahahaha!...

Unatembea kama umetoka kukatwa. Daah!.
Nakuona kwenye ubora wsko
 
Dah fungus kwa wadada ina sababisha ***K*** kutoa harufuu kama ya maiti
 
Dah fungus kwa wadada ina sababisha ***K*** kutoa harufuu kama ya maiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…