Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima yako Ndugu Makongo ya mwaka 1994 ilikua bora sana katika kila nyanja nidhamu na matokeo huyo Mdau mtoto wake alikua mtoto wa mama ndiyo maana alishindwa kusoma pale.Siyo kweli mie nimemaliza F4 1994 kulikuwa hakunA hata nafasi ya kuvuta bangi na tulikuwa tunajisomea shule ya msingi makurumula,acha uongo toto lako miaka hiyo lilikuwa vutaji toka nyumbani kwako,Makongo hukuweza kuilinganisha na Jitegemee kwa nidhamu miaka ile
Duuuu huyo jamaa alikua hatari tupu ukimkuta kwenye 18 zake.R.I.P AFANDE MIRAJIIII ULIWANYOOSHA NA WALIPATA TABU SANAAAA
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Major Mayebe....kuna siku huyu afande alikua ana watafuta watoro,kuna jamaa aka ruka senyenge huku nyuma karibu na nyambizi kwenda mbuyu wa kota,afande mayebe hakupata tabu alishika alama ya viatu vya jamaa aka muacha msela aliruka kavu ya mbele asikamatwe.kesho yake Mayebe alipita kila darasa shart wanaume wote kuinua miguu juu kutazama alama ya viatu hadi alimpata jamaa akampa elfu kumi na uongoz wa skauti alionesha ukakamavu
Senkondo huyo huyo wa MISOSI mikwara kibaooooo....Isaac alikuwa anaitwa Isack Peter alishiriki hadi miss khanga party kilimanjaro hotel pool sideAisee Senkondo ndio yule jamaa wa misosi au...?. Huyu Afande Master nilimuacha na nyota 2 alikuwa mrembo lakini akikutia mkononi babake, hatari.
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Issac tulikuwa nae bweni mshkaji alikuwa DAH acha nisiseme tu mtakuwa mmeshaelewa walengwa.
Ilikuwa ukipelekwa 1MP aisee ukirudi unaambiwa kabisa kapumzike bwenini usiingie class maana kipondo utakachopata pale acha tu.
Namkumbuka Salama Jabir na FILA yake aisee.
HujakoseaHuyo afande atakuwa alikuwa Kapteni kisarika
Nakumbuka kuna dogo mmoja wa kiarabu aliletwa na baba yake f1 akitaka dogo anyoke baada ya kishindikana kote ma alifuata mstari baada ya kukabidhiwa chacha na miraji,kila aking'aa kwao tu ni adhabu kwenda mbele,alinyooka!!Heshima yako Ndugu Makongo ya mwaka 1994 ilikua bora sana katika kila nyanja nidhamu na matokeo huyo Mdau mtoto wake alikua mtoto wa mama ndiyo maana alishindwa kusoma pale.
Senkondo huyo huyo wa MISOSI mikwara kibaooooo....
Isaac alikuwa anaitwa Isack Peter alishiriki hadi miss khanga party kilimanjaro hotel pool side
Salama alikuwa anaforce basketball
Makongo enzi hizo ilikuwa kituo cha taaluma, sanaa na michezo...akina Marehemu Chifupa, Daz Nundaz, Bon Crewz akina Eazy Mchwampaka, Salama Jabir, Mishi Bomba, Irene Ngowi nk kwenye kikapu sasa akina Gwantwa, Mpoki, Salum Kaindu, Kapwapwa, Mwaipungu, Gunze, Mlekwa, Jacob nk ilikuwa kwere kisanga na nususu
Kioindi chetu tulikuwa tunasoma na maafande akiwamo Afande Miraji siku moja wakakosea karatasi zao za matokeo zikaja na zetu darasani Miraji akiwa ameata sifuri mmoja wetu akachora sifuri na masikio kwenye karatasi ya matokeo ya Afande Miraji zikarudishwa kwa mwl wa hesabu,alikuja Afande Miraji na zigo la fimbo akasema "leo nitawachaoa bakora hadi mik***u yenu iwake moto iwe myekundu kama ya kicheche iwe inaoiga dimu kama taa ya indiketa ya gari"Duuuu huyo jamaa alikua hatari tupu ukimkuta kwenye 18 zake.
Eeeh namsoma Muddy mzawa wa kawe jina lingine alikuwa anaitwa BABU WA CHIGA mweusiiiii na kigugumizi chake...Easy M alikuwa na mshkaji wake mmoja hivi anaitwa Muddy Machafuko alifungwa miaka 15 jela aisee ila ameshatoka tayari. Jamaa alikuwa mwembamba flani hivi black.