Wale tuliotoka familia masikini na tukatusua kimaisha tukutane hapa

Hakukuwa na ulazima wa kutaja mshahara wako,watu wanalamba 1m per day huku
 
Wewe Mkulungwa01 ....
Hebu tujaribu kuwa na maisha yenye uhalisia jabo kdg... Ww si mkurugenz wa shirika X wala Y, wala si meneja wa X wala Z.........
Then post zako za awali zinakukataa kabisa.... How comes mwaka 2019 ulipangwa Jeshi kwa mujibu then leo ushakuwa meneja cjui mkurugenzi....

Kuna namna nyingi sana za kuwasilisha uzi pasi na kutudanganya na mesej ikafika vzr tu.

Wewe ni mwanafunzi wa chuo X na ushamaliza mwaka wa pili kwa sasa.
Bado unaishi maisha ya KUSADIKIKA.

Naomba kuwasilisha
 
Na wewe umeshtuka kama mimi [emoji1787][emoji1787]
Kwa miundo ya taasisi za serikali na umri mtu anamaliza chuo na hadi kupata ajira, miaka 31 unakuwa bado daraja la pili.

Kama ni mfamasia ni pharmacy II

Kama muhasibu ni accountant II

Nk. Nk

Hata umeneja tu kuupata kwa umri huo bado Sana.

Leo dogo anatuambia ni mkurugenzi wa bodi ya Shirika la umma [emoji23]

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana chief,Ila hio sometimes kuexpose hio figure ya net salary ni kutuumiza sisi magraduate tunaoishi kwa kubeti.
Ila hongera sana...shida Kama Moto zinaunguza unaungua
 
Umasikini umekuwa sifa.

Ila naona kipato unachopata ni cha kawaida sana kama hutachukua hatua kwenda mbele zaidi.
Unaweza ukatoa ratio ya watanzania wenye icho kipato na wasio nacho tuone ratio ikoje unaposema ni Cha kawaida.
Kumbuka hela ni number na number ni infinite.
So kila mmoja ana limit yake.
Umeona maisha kwanza aliyopitia mpaka kufikia hapo lakini ama umeandika kumuonyesha jamaa kuwa kipato chake si chochote
 
" Kutusua ' ni term pana sana, kuna watu wana ten digits income figures kwa mwezi na bado hawawezi sema wametusua!.

Bora hata ungesema" tuliopata mafanikio baada ya msoto '
Wewe Kama wewe wako no digits ngapi tuanzie hapo. So unataka jamaa aishi kufuata hao wa Fifteen digits?
Kila mtu Ana satisfaction point yake mkuu.
To be satisfied with yourself is the wealth but to be rich is measured by others.
Kumbuka Kuna difference ya kuwa wealth na kuwa rich.
 
Hv kumbe bado Kuna watu serikali hii wanapokea mishahara miwili au mm ndio sijaelewa


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mbona kama una ni attack? ,
Mie ni zero rated digit earner umefurahi?
Hoja yamgu haikuwa kumlinganisha na mtu mwingine , nimemfahamisha tu , kuwa hicho anachopata na kusema ametusua , kuna watu kwao ni peamut na bado wanajiona hawajafanikiwa ,

Yap kila mtu ana kiwango chake cha kutosheka ,ndo ilikuwa maana yangu,
Hoja ya wealth na the rich wala sio mahala pake hapa , huwezi kuajiriwa halafu ukaongelea utajiri. , employment and wealth , they just dont. Blend unless uwe mwizi kazini
 
Je sisi tulio toka kwenye maisha magumu na bado tunaishi kwenye maisha magumu.
Hatujatoboa bado tuna Reply wapi?
 
Mna pepo la umasikini kwenu kemea hiyo hali,inaweza kujirudia kwa kizazi chako/chenu
 
Umasikini umekuwa sifa.

Ila naona kipato unachopata ni cha kawaida sana kama hutachukua hatua kwenda mbele zaidi.

We ndii umetafsiri ni sifa mtu kutoa historia yake ubaya uko wp?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…