Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa miundo ya taasisi za serikali na umri mtu anamaliza chuo na hadi kupata ajira, miaka 31 unakuwa bado daraja la pili.Na wewe umeshtuka kama mimi [emoji1787][emoji1787]
Hongera sana chief,Ila hio sometimes kuexpose hio figure ya net salary ni kutuumiza sisi magraduate tunaoishi kwa kubeti.Wanajamvi nawasalimu!
Nilipokuwa chuo niliishi maisha magumu mno, mlo nilikuwa nakula mmoja tu napo ni jioni. Home hakukuwa na hela na hawakuweza kunilipia ada. Hela yote ya boom nilikuwa naigawa kulipa madeni, ada na pango, na kubakiwa na kiasi kidogo mno ambacho hunisogeza kwa siku chache tu.
Wasichana wazuri nilikaa nao mbali kwani sikuwa na cha kuwapa. Wanasema ni bora kujifanya unazo ili uwanase, ila kwangu uongo ulikuwa ni mwiko kwani aibu ya kuumbuka ni kubwa mno. Nimeshakosa tests kadhaa chuo kwa kukosa hela ya ada ila kwa uwezo tu wa Mungu nilifanikiwa.
Home hakuna hata mmoja aliyefika advance, ni mimi tu. Dada zangu karibia wote wanne walipata mimba na hawakuweza kusoma. Mmoja ameishia form four na akafeli.
Kaka zangi wawili wameishia la saba na kufeli kuingia form one.
Pata picha hapo maisha yalivyokuwa magumu. Ilifika wakati mtaani tulikuwa tunachekwa kwani tulijazana watu wengi ndani ya nyumba moja ndogo ya vyumba vitatu, na vyote uliishi humo kuanzia baba, mama, ndugu na watoto wote.
Narudi maisha ya chuo...Chuo sikuwahi kutembelea kumbi za starehe kwani sikuwa na pesa za kutosha, na ukizingatia DSM kila weekend wanachuo hufurika kumbi zote za starehe kula bata.
Nilivaa mavazi ya kimasikini japo si sana. Nilijitahidi kusoma kwa bidii na kwa uchungu mkubwa. Hakuna 'demu' yeyote aliyenipenda katika kipindi hiki, wote walinikwepa kama kinyesi. Ila sikuwa na kawaida ya kukopa kopa hela kwa watu au kulia lia shida hovyo. Kifupi nilikuwa ni masikini jeuri.
Sijui kilitokea nini ila kwa sasa ni manager katika shirika X la serikali hapa DSM, pia ni mkurugenzi wa body X ya shirika la serikali hapa DSM. Mishahara yangu yote miwili ni 8M plus marupu rupu, kwa mwezi.
Namshukuru Mungu kwa kunifuta machozi ya muda mrefu, na hayo ndiyo maisha niliyopitia chuo.
'Mungu na awaone wengj wanaopitia kipindi kigumu kwa muda huu'
Nawasilisha, karibuni tufarijiane na tukumbushane maisha haya ya uchungu.
Kwa sasa nashukuru Mungu wanangu wanaitwa WA KISHUA. Thanks lord![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mwamba anatuburuza an.Hahaha,najikuta nacheka tu kwenye hizi comments...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera ya nn.Hongera sana chief,Ila hio sometimes kuexpose hio figure ya net salary ni kutuumiza sisi magraduate tunaoishi kwa kubeti.
Ila hongera sana...shida Kama Moto zinaunguza unaungua
Unaweza ukatoa ratio ya watanzania wenye icho kipato na wasio nacho tuone ratio ikoje unaposema ni Cha kawaida.Umasikini umekuwa sifa.
Ila naona kipato unachopata ni cha kawaida sana kama hutachukua hatua kwenda mbele zaidi.
Wewe Kama wewe wako no digits ngapi tuanzie hapo. So unataka jamaa aishi kufuata hao wa Fifteen digits?" Kutusua ' ni term pana sana, kuna watu wana ten digits income figures kwa mwezi na bado hawawezi sema wametusua!.
Bora hata ungesema" tuliopata mafanikio baada ya msoto '
😂Hafu sauti ya Mil 8 kwa mwezi haipo ivo. 🥵🥵🥵
[emoji3][emoji3] aisee!Hafu sauti ya Mil 8 kwa mwezi haipo ivo. [emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Hv kumbe bado Kuna watu serikali hii wanapokea mishahara miwili au mm ndio sijaelewaWanajamvi nawasalimu!
Nilipokuwa chuo niliishi maisha magumu mno, mlo nilikuwa nakula mmoja tu napo ni jioni. Home hakukuwa na hela na hawakuweza kunilipia ada. Hela yote ya boom nilikuwa naigawa kulipa madeni, ada na pango, na kubakiwa na kiasi kidogo mno ambacho hunisogeza kwa siku chache tu.
Wasichana wazuri nilikaa nao mbali kwani sikuwa na cha kuwapa. Wanasema ni bora kujifanya unazo ili uwanase, ila kwangu uongo ulikuwa ni mwiko kwani aibu ya kuumbuka ni kubwa mno. Nimeshakosa tests kadhaa chuo kwa kukosa hela ya ada ila kwa uwezo tu wa Mungu nilifanikiwa.
Home hakuna hata mmoja aliyefika advance, ni mimi tu. Dada zangu karibia wote wanne walipata mimba na hawakuweza kusoma. Mmoja ameishia form four na akafeli.
Kaka zangi wawili wameishia la saba na kufeli kuingia form one.
Pata picha hapo maisha yalivyokuwa magumu. Ilifika wakati mtaani tulikuwa tunachekwa kwani tulijazana watu wengi ndani ya nyumba moja ndogo ya vyumba vitatu, na vyote uliishi humo kuanzia baba, mama, ndugu na watoto wote.
Narudi maisha ya chuo...Chuo sikuwahi kutembelea kumbi za starehe kwani sikuwa na pesa za kutosha, na ukizingatia DSM kila weekend wanachuo hufurika kumbi zote za starehe kula bata.
Nilivaa mavazi ya kimasikini japo si sana. Nilijitahidi kusoma kwa bidii na kwa uchungu mkubwa. Hakuna 'demu' yeyote aliyenipenda katika kipindi hiki, wote walinikwepa kama kinyesi. Ila sikuwa na kawaida ya kukopa kopa hela kwa watu au kulia lia shida hovyo. Kifupi nilikuwa ni masikini jeuri.
Sijui kilitokea nini ila kwa sasa ni manager katika shirika X la serikali hapa DSM, pia ni mkurugenzi wa body X ya shirika la serikali hapa DSM. Mishahara yangu yote miwili ni 8M plus marupu rupu, kwa mwezi.
Namshukuru Mungu kwa kunifuta machozi ya muda mrefu, na hayo ndiyo maisha niliyopitia chuo.
'Mungu na awaone wengj wanaopitia kipindi kigumu kwa muda huu'
Nawasilisha, karibuni tufarijiane na tukumbushane maisha haya ya uchungu.
Kwa sasa nashukuru Mungu wanangu wanaitwa WA KISHUA. Thanks lord![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mbona kama una ni attack? ,Wewe Kama wewe wako no digits ngapi tuanzie hapo. So unataka jamaa aishi kufuata hao wa Fifteen digits?
Kila mtu Ana satisfaction point yake mkuu.
To be satisfied with yourself is the wealth but to be rich is measured by others.
Kumbuka Kuna difference ya kuwa wealth na kuwa rich.
Mna pepo la umasikini kwenu kemea hiyo hali,inaweza kujirudia kwa kizazi chako/chenuWanajamvi nawasalimu!
Nilipokuwa chuo niliishi maisha magumu mno, mlo nilikuwa nakula mmoja tu napo ni jioni. Home hakukuwa na hela na hawakuweza kunilipia ada. Hela yote ya boom nilikuwa naigawa kulipa madeni, ada na pango, na kubakiwa na kiasi kidogo mno ambacho hunisogeza kwa siku chache tu.
Wasichana wazuri nilikaa nao mbali kwani sikuwa na cha kuwapa. Wanasema ni bora kujifanya unazo ili uwanase, ila kwangu uongo ulikuwa ni mwiko kwani aibu ya kuumbuka ni kubwa mno. Nimeshakosa tests kadhaa chuo kwa kukosa hela ya ada ila kwa uwezo tu wa Mungu nilifanikiwa.
Home hakuna hata mmoja aliyefika advance, ni mimi tu. Dada zangu karibia wote wanne walipata mimba na hawakuweza kusoma. Mmoja ameishia form four na akafeli.
Kaka zangi wawili wameishia la saba na kufeli kuingia form one.
Pata picha hapo maisha yalivyokuwa magumu. Ilifika wakati mtaani tulikuwa tunachekwa kwani tulijazana watu wengi ndani ya nyumba moja ndogo ya vyumba vitatu, na vyote uliishi humo kuanzia baba, mama, ndugu na watoto wote.
Narudi maisha ya chuo...Chuo sikuwahi kutembelea kumbi za starehe kwani sikuwa na pesa za kutosha, na ukizingatia DSM kila weekend wanachuo hufurika kumbi zote za starehe kula bata.
Nilivaa mavazi ya kimasikini japo si sana. Nilijitahidi kusoma kwa bidii na kwa uchungu mkubwa. Hakuna 'demu' yeyote aliyenipenda katika kipindi hiki, wote walinikwepa kama kinyesi. Ila sikuwa na kawaida ya kukopa kopa hela kwa watu au kulia lia shida hovyo. Kifupi nilikuwa ni masikini jeuri.
Sijui kilitokea nini ila kwa sasa ni manager katika shirika X la serikali hapa DSM, pia ni mkurugenzi wa body X ya shirika la serikali hapa DSM. Mishahara yangu yote miwili ni 8M plus marupu rupu, kwa mwezi.
Namshukuru Mungu kwa kunifuta machozi ya muda mrefu, na hayo ndiyo maisha niliyopitia chuo.
'Mungu na awaone wengj wanaopitia kipindi kigumu kwa muda huu'
Nawasilisha, karibuni tufarijiane na tukumbushane maisha haya ya uchungu.
Kwa sasa nashukuru Mungu wanangu wanaitwa WA KISHUA. Thanks lord![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Umasikini umekuwa sifa.
Ila naona kipato unachopata ni cha kawaida sana kama hutachukua hatua kwenda mbele zaidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa kwenye manager wa kampuni ya serikali na pia mkurugenzi wa kampuni nyingine ya serikali umetupiga. Tena na miaka yako 31[emoji23]
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Pia kwake is unlike na icho so kwake ni huge sum if not big chunk like Jupiter largest comparedkuna watu kwao ni peamut na bado wanajiona hawajafanikiwa ,