Wewe mlugaluga wa maporini hii haikuhusu, fungua mada yako mlivyokuwa mnacheza peku na boga, chandimu ni msamiati wa kidaslamu ikimaanisha kitenesiWacheza chandimu wa enzi hizo walijiita maradona, pele, roger miller, piter shilton, gary linenker na wengine wengi mastaa wa enzi hizo, ilikuwa ni burudani tosha