Wale tuliowahi kucheza chandimu tukutane hapa tujuane

Nilikuwa zidane wa kitaa hika ya mimi watu hawachezi.. nishakuka sana mikwaju kisa chandimu.
Kuna moja hiyo, watu wamekuja kunitorosha madrassa, chama liko robo fainali, zawadi mchele na kuku chama lishakufa goli 2, watu mbona walikuja madrassa wakasingizia wameagizwa toka home, nahitajika mara 1, aisee natoka wana wananiambia breki uwanjani, chama lishaloa chuma 2..
Nafika navua kanzu, nabaki na bukta tunachomoa chuma 2, kisha ya 3 napachika mwenyewe.
Unatufunga mota mkali.
 
Wacheza chandimu wa enzi hizo walijiita maradona, pele, roger miller, piter shilton, gary linenker na wengine wengi mastaa wa enzi hizo, ilikuwa ni burudani tosha
Sisi tuliocheza enzi za akina Gibson Sembuli ndio tulikuwa tunaitwa hivyo. Nikahamia golini miaka ya '90s nikaitwa Riffat Saidi. Chandimu ilikiwa tami sana enzi hizo. Break tu ile ya saa 4 hamwendi popote zaidi ya uwanjani kuchuana darasa kwa darasa!
 
Sisi tuliocheza enzi za akina Gibson Sembuli ndio tulikuwa tunaitwa hivyo. Nikahamia golini miaka ya '90s nikaitwa Riffat Saidi. Chandimu ilikiwa tamu sana enzi hizo. Break tu ile ya saa 4 hamwendi popote zaidi ya uwanjani kuchuana darasa kwa darasa!
 
Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwaambieni tu kuwa mimi ndiye GOAT wa Mpira wa chandimu.

Hii ndo kusema kuwa wakati wengine walikuwa wanatamba pande zao mimi nilikuwa natamba pande zangu.

Huku mesi akiwa GOAT wa professional football secretarybird naye ni GOAT wa chandimu.

Ni hayo tu.
Nikiendelea kutaja sifa zangu wale vijana na watoto wa Morogoro Mjini wa miaka ya 1980 na 1990 watanijua mi nani.
 
Nilikuwa zidane wa kitaa hika ya mimi watu hawachezi.. nishakuka sana mikwaju kisa chandimu.
Kuna moja hiyo, watu wamekuja kunitorosha madrassa, chama liko robo fainali, zawadi mchele na kuku chama lishakufa goli 2, watu mbona walikuja madrassa wakasingizia wameagizwa toka home, nahitajika mara 1, aisee natoka wana wananiambia breki uwanjani, chama lishaloa chuma 2..
Nafika navua kanzu, nabaki na bukta tunachomoa chuma 2, kisha ya 3 napachika mwenyewe.
😂😂😂😂😂 ila Maka, mmmmh
 
Wacheza chandimu wa enzi hizo walijiita maradona, pele, roger miller, piter shilton, gary linenker na wengine wengi mastaa wa enzi hizo, ilikuwa ni burudani tosha
Sisi tuliocheza enzi za akina Gibson Sembuli ndio tulikuwa tunaitwa hivyo. Nikahamia golini miaka ya '90s nikaitwa Riffat Saidi. Chandimu ilikiwa tami sana enzi hizo. Break tu ile ya saa 4 hamwendi popote zaidi ya uwanjani kuchuana darasa kwa darasa!
 
FB_IMG_1768070620158.jpg
 
Kama ni mkazi wa mitaa ya Yombo uwanja maarufu wa chandimu ulikuwa kigorofani na wa huku upande wa Temeke wa kizembe samaki .

Mimi historia yangu nilikuwa beki mwenye roho mbaya sana napiga tackling na slides za kufa mbuzi mechi zikiisha Nakuwa mchafu sitamaniki kutokana na kazi zangu chafu huku magotini alama za kuchunika nilikuwa Master wa tackling kiboko ya maforward wasumbufu.
era
Siku Moja mechi ya ligi kubwa ya mitaa mbalimbali ilianzishwa Top scorer na mchezaji maarufu zaidi alikuwa jamaa anaitwa Evanda alikuwa mkaki wa vyenga na anachekea na nyavu vibaya mno kila mechi lazima atupie . Timu yake ikapangwa na yangu nikasema Yes nilikuwa nataka Leo ni siku ya kuchukua maujiko.

Kwa kutaka sifa siku hiyo Mimi nikiingia na kazi moja tu kumzuia asishinde siku ya mechi uwanja ukajaaa sana kamera zote kwa Evanda basi nikawa natenbea nae kila anapoenda mpaka akirudi golini kwao au akiwa amekaa Mimi na yeye tu . Niliigonga miguu yake na kupiga tackling za kukera uwanja mzima ulikuwa unariouka na furaha kila ninapomuendea jamaa akawa hafurukuti mpaka akapanic na kutoka mchezoni almanusura apewe redcard .

Mechi ikaisha tukaibuka mabingwa Evanda kwa mara ya kwanza hakucheka na nyavu nikapata maujiko uwanja mzima watu mbalimbali wananisifia na yeye akaja kunipa mkono wa kunipongeza mtu mBad Segrio Ramos.
 
Chai
 
Back
Top Bottom