makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
😂🤣Maka sio kwa minyama hii..!!
Yani wewe umezidi umebeba sufuria lote ukajitwika kichwani alooo!! 😹😹😹
Alooh!! Siaminiki, kwamba hivi vitu ni hamjawahi kuona maishani.. japo siku hizi goti linanisumbua, nitakualika siku moja nikienda kushibua, uje uone ninavyoitendea haki jezi namba 10 yangu..