SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,382
- 2,407
Condoms!!Mi nilikuwa natengeneza mifuko ya Rambo. Sometimes nafuma Mpira kwa kutumia condoms bila kujali imetumika ama haijatumika 😂.
ngara23.
Sisi ilikuwa ni tube. ya baiskeli kinakatwa kipande na kufungwa upande mmoja alafu unampa mwenzio ashike uku ukipuliza ule upande wa pili ulio wazi kama puto then nylonon za Marlboro na na nyuzi ngumu nyeusi zilizofumuliwa toka kwenye tyre zinafuata