secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #101
Sana 😂. Nilikuwa nafuma hadi Mpira wa Jabulani.😃😃😃Fundi mipira
Sana 😂. Nilikuwa nafuma hadi Mpira wa Jabulani.😃😃😃Fundi mipira
Sikutaka tu kwenda kule kwa sababu nilidanganywa kuwa Kunabarudi Kali sana 😂.Vipi sahivi mnaendeleaje huko Chelsea, Barcelona, Man U nk, au ndiyo vipaji hamkuviendeleza?😀😀😀
Kipindi tupo likizo mwezi wa sita au December mnaanza kucheza mida ya saa tatu mpaka pale chakula cha mchana mnapoitwa kwenda kula mmojammoja mkirudi huko mnalianzisha tenaUle mpira ni mtamu bhana! Wengi waliashatoa kucha zao kisa chandimu.
😀😀 basi hata ungeenda Simba na Yanga mkuu, ila si mbayaSikutaka tu kwenda kule kwa sababu nilidanganywa kuwa Kunabarudi Kali sana 😂.
Aisee nyie mmesoma shabaan robert ya wapi ?Nakumbuka nilikuwa nalala pale Shaaban room namba 11, mwaka 1997 nikiwa form six.
Wazazi walitaka nisome kwanza.😀😀 basi hata ungeenda Simba na Yanga mkuu, ila si mbaya
Ya Lyamungo, pale hai kwenye maparachichi 😂.Aisee nyie mmesoma shabaan robert ya wapi ?
Mie nakuaminia kwenye hii mada. 🤣🤣🤣🤣Najua hutaamini nisemacho lakini ukweli ndio huo.
Asante mkuu Kwa kuniamini. Wengine hadi uwaelekeze kwa kuwashikia fimbo ndo wanaamini.Mie nakuaminia kwenye hii mada. 🤣🤣🤣🤣
Kaka Nina mengi kaka.Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwaambieni tu kuwa mimi ndiye GOAT wa Mpira wa chandimu.
Hii ndo kusema kuwa wakati wengine walikuwa wanatamba pande zao mimi nilikuwa natamba pande zangu.
Huku mesi akiwa GOAT wa professional football secretarybird naye ni GOAT wa chandimu.
Ni hayo tu.
Kaka umewahi kuwa mchezaji wa chandimu?Kaka Nina mengi kaka.
em kafie mbele,,Nakumbuka nilikuwa nalala pale Shaaban room namba 11, mwaka 1997 nikiwa form six.
Af madochi wanakutimua unafumua sana mipiraKama unajua kupiga dochi, we ni either mtu wa Moro au Dar na pia ulicheza sodo. Hayo ndio yalikuwa maneno yetu. 😂😂
Sio Kinye?Ila skull boli nimelibonda sana, Hata pale uboyzn Ligi ya mabweni nilikua Diara Mtupu mwaka wetu Gwanta walibebaga🤣
KwambaSio Kinye?