Wale tuliowahi kucheza chandimu tukutane hapa tujuane

Wacheza chandimu wa enzi hizo walijiita maradona, pele, roger miller, piter shilton, gary linenker na wengine wengi mastaa wa enzi hizo, ilikuwa ni burudani tosha
Wewe mlugaluga wa maporini hii haikuhusu, fungua mada yako mlivyokuwa mnacheza peku na boga, chandimu ni msamiati wa kidaslamu ikimaanisha kitenesi
 
Ha ha ha ha ha ha
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Wewe mlugaluga wa maporini hii haikuhusu, fungua mada yako mlivyokuwa mnacheza peku na boga, chandimu ni msamiati wa kidaslamu ikimaanisha kitenesi
unatoa povu baada ya timu yako ya algeria kubamizwa chuma mbili bila na nigeria
 
Uongoooo
 
Badala ya Minyama yani tupaki umepakua jiko kabisa.
 
acha uongo mrembo.ulikuwa unacheza mdako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…