Kumbe na ulikuwa na guu la hivyoπNilikua naiambia team yangu nzima wapande mbele halafu huku nyuma waniachie mimi tu,
Nilikua natembeza buti,mpaka forward za team pinzani zilikua zinarudi nyuma kuungana na mabeki wao.
π€£π€£π€£π€£Nilikuwa zidane wa kitaa bila ya mimi watu hawachezi.. nishakula sana mikwaju kisa chandimu.
Kuna moja hiyo, watu wamekuja kunitorosha madrassa, chama liko robo fainali, zawadi mchele na kuku chama lishakufa goli 2, watu mbona walikuja madrassa wakasingizia wameagizwa toka home, nahitajika mara 1, aisee natoka wana wananiambia breki uwanjani, chama lishaloa chuma 2..
Nafika navua kanzu, nabaki na bukta tunachomoa chuma 2, kisha ya 3 napachika mwenyewe...
Sasa mimba haina siri.. tunarudi mtaani shangwe nyingi, full kuimba nini, kunitania, siri ikavuja mie ndio shujaa wa leo, na wale makomqndo vipensi, wazee wa CIA waliokuja kunichomoa pale, wakamwaga siri walivyonipata, alooh, taarifa zikafikq home, usiku ule nikachezea sana mikwaju, kesho yake napo madrassa taarifa zimemfikia ostadhi nako nikala mikwaju.. ππ€£
Nakumbuka nilipiga ndole mguu wa mwenzangu kidole gumba kikapinda kulalia juu nilipiga kelele za maumivu.Ule mpira ni mtamu bhana! Wengi waliashatoa kucha zao kisa chandimu.
Mi nakumbuka jamaa mmoja alinifanyia uhuni kwa kunirushia jiwe fulani lenye umbo kama la mpira. Aliniambia Mpira huo akarusha, mimi nakipokea kama lilivyokuja, kilichotokea usikiulize.Nakumbuka nilipiga ndole mguu wa mwenzangu kidole gumba kikapinda kulalia juu nilipiga kelele za maumivu.
Mwamba mmoja akaja kakishika vuta kwa nguvu kikarudi sehemu yake sio poa
πππMi nakumbuka jamaa mmoja alinifanyia uhuni kwa kunirushia jiwe fulani lenye umbo kama la mpira. Aliniambia Mpira huo akarusha, mimi nakipokea kama lilivyokuja, kilichotokea usikiulize.