Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Dah umenikumbusha mbali mkuu,

nilitongoza binti kumbe mke wa mtu bt yupo kwao coz walikua wana ugomvi na mumewe, so nikachukua chumba then akaja...
ile nimemla chakwanza mara mlango ukabishwa hodi, kufungu jamaa ananiambia namtafuta mke wangu then ile nahamaki jamaa kachomoa kisu... Nilitoka nduki hadi nakufa sintowah kusahau hii kitu na ilinifanya nibaki njia kuu hadi leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu
 
Write your reply...daah sitakaa nisahau alikuwa ni mwanafunzi nilikimbia usiku peku sikujali mbigiri wala miiba na bukta yangu ya chelsea kitumbo wazi kuwaepuka wagambo wazazi wakiume walinirushia ndonga likanipata kwenye bega mengine yalinikosa sitasahau

ila hivi viwanafunz vitamu aisee
😂😂😂😂
 
Hahahaaaa duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila baharia gh hussa hawa wanafunzi watakumaliza [emoji3][emoji23] majuzi tu kuna Uzi ulikuwa unaomba msaada umekomenti umeharibu kwa mwanafunz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah umenikumbusha mbali mkuu,

nilitongoza binti kumbe mke wa mtu bt yupo kwao coz walikua wana ugomvi na mumewe, so nikachukua chumba then akaja...
ile nimemla chakwanza mara mlango ukabishwa hodi, kufungu jamaa ananiambia namtafuta mke wangu then ile nahamaki jamaa kachomoa kisu... Nilitoka nduki hadi nakufa sintowah kusahau hii kitu na ilinifanya nibaki njia kuu hadi leo
😂😂😂😂
 
Hahah nakumbuka walikuja home sa8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti..kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao. Pumbav kabisa..sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda..nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.
Mizee mingine nuksi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumamae we jamaa ni nyoko

[emoji23] Uligonga Mission la kikomando katikati ya wajeshi... Wah Gwan Natty...[emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah nakumbuka walikuja home sa8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti..kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao. Pumbav kabisa..sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda..nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.
Halafu unajisifia
Subiri huyo binti yako akue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom