Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Hahah nakumbuka walikuja home sa8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti..kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao. Pumbav kabisa..sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda..nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.
Wewe ndio pacha wangu. Mi ndio ulikuwa mchezo wangu nalala humohumo ukweni, ndani ya geti opposite na chumba cha wazee.
 
Binafsi mm nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo sasa siku moja ya jumamosi wife yy akiwa ameenda ofisini kwake nika kaita kaje nyumbani, alivyokuja nika mgegedea kwenye chumba cha house girl yy pia hakuwepo, mara paap nasikia geti linagongwa kuchungulia ni wife nilimchukua yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti. Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie house girl ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo. wife alichukua document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mm nikaendelea na mgegedo.
Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa
hapo haukusumwa ulitaka kufumwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binti mtaa mmoja ana chumba kimoja kiko smart sana, hufanyi kazi yoyote, akaniamisha yuko mwenyewe ila Nilikua na doubt sana kama ni kweli, nikawa nammega humo siku moja moja.

Sasa kuna siku asub nikaenda, nikammega fresh, condoms ziko chini tu, yeye akatoka nikavaa nikaa kwenye sofa nivae buti, Mara nakuta kuna kipande ya mtu imeingia inauliza huyu yuko wapi, nikajua hali tete, nikamwambia katoka kaenda niitia rafiki yake anakuja. Jamaa akatoka nje, nikazificha fasta condoms nikam SMS demu, akashtuka mno, kumbe mwamba ndio anamweka mjini. Nikamwambia ila nimemwambia umeenda niitia mwenzio, so Njoo na yyte yule. Akaja na kademu fulani tukajifanya wapenzi nikaamsha nae namwacha demu, ila alimtandika kinyama huko nyuma na kumwacha.
Mwamba combat zilimtia wenge.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahah nakumbuka walikuja home sa8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti..kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao. Pumbav kabisa..sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda..nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Dah umenikumbusha mbali mkuu,

nilitongoza binti kumbe mke wa mtu bt yupo kwao coz walikua wana ugomvi na mumewe, so nikachukua chumba then akaja...
ile nimemla chakwanza mara mlango ukabishwa hodi, kufungu jamaa ananiambia namtafuta mke wangu then ile nahamaki jamaa kachomoa kisu... Nilitoka nduki hadi nakufa sintowah kusahau hii kitu na ilinifanya nibaki njia kuu hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mjeda nini???? Aisee lasivyo angekukula kiboga
Kuna binti mtaa mmoja ana chumba kimoja kiko smart sana, hufanyi kazi yoyote, akaniamisha yuko mwenyewe ila Nilikua na doubt sana kama ni kweli, nikawa nammega humo siku moja moja.

Sasa kuna siku asub nikaenda, nikammega fresh, condoms ziko chini tu, yeye akatoka nikavaa nikaa kwenye sofa nivae buti, Mara nakuta kuna kipande ya mtu imeingia inauliza huyu yuko wapi, nikajua hali tete, nikamwambia katoka kaenda niitia rafiki yake anakuja. Jamaa akatoka nje, nikazificha fasta condoms nikam SMS demu, akashtuka mno, kumbe mwamba ndio anamweka mjini. Nikamwambia ila nimemwambia umeenda niitia mwenzio, so Njoo na yyte yule. Akaja na kademu fulani tukajifanya wapenzi nikaamsha nae namwacha demu, ila alimtandika kinyama huko nyuma na kumwacha.
Mwamba combat zilimtia wenge

***** Walah...! Ukakatafuna nako hako kademu alikoenda kukuitia?. Mabaharia MUNGU anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2012 ,natoka kumla demi Wangu ,kumbe nyumban kwao anatafutwa na dingi yake, ile namsindikiza kwao tulipokaribia kwao Mara nikamlikwa tochi Kali ,naamlishwa nikae chini,nasikia sauti tu coz mwanga wa tochi ulizuia nisione mbele ,nikajisemea moyoni hapa siwezi kufa kizembe lazima nitimue mbio coz mzee wake alikuwa na bucha nilijua hawez kosa kisu,nilitimua mbio nikaenda kupumzika kijiji cha tatu msara nikamwachia binti,alipigwa sana mpaka akachakaa,baada ya siku tatu nikarudi nyumbani,mzee alienda kumaliza kesi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mimi nilifumaniwa na sms, ilikuwa jumamosi moja hivi tupo na wife bed tunetumzika unajua tena jmosi uchovu na nini sasa nikawa na chati na binti mmoja mrembo sana mtumishi wa umma tumechat kwa sms zote mpaka tukaafikiana location na atangulie achukuwe room kabisa mara paap bint amefika room akarusha picha yupo location tayari kwa game anakula santiana mimi fasta nikaingia bafuni nikapiga maji huyo niwahi mgegedo nikamuaga wife naenda kuchek game ya mpira nimefika kwenye tukio huku napasha kwa bia mbili tatu full kushikana na binti mara simu ya wife ikawa inaita akaniuliza niko wapi ni mwambia nachek game mahali fulani nikapataja akasema una hakika nikasema ndiyo akasema basi poa.. dakika mbili baadaye nikona kwenye simu zangu mvua za sms zote tulizokuwa nachat na binti mh...nilipagawa nilikuwa mdogo kama piriton nikaharisha game hapo hapo nikasepa zangu huku nyuma kilichotokea nitaweka uzi hapa siku moja ngoja siku zisonge kidogo.
 
😂😂😂
 
Hahah nakumbuka walikuja home sa8 ya usiku kumtafuta binti yao wakawasumbua wazee wa watu mm sionekan binti haonekani wakaja nyumba ya jirani waka sachi pia wakaenda kwa jirani mwingine wakanikosa, wakaanza kutamba sasa kwamba wakinikuta na binti yao watanikata kitendea kazi, mm nikatoka nilikokuwa nikaenda kuwasaidia kumtafuta binti..kwa mikwara yaliyokuwa wanapiga alaf wakaona ninawasaidia ikabidi watulie, watu wakarudi makwao na mimi nikarudi kwao nikaendeleza kumtafuna binti yao yaan wale wazee mafala sana wameenda kumtafuta mtoto wao kwetu wakati mm nimelala nae kwao. Pumbav kabisa..sitorudia ule ujinga maana wazee wake wote ni wajeda..nilifanikiwa kupata mtoto wa kike na binti yao ambaye sasa ana miaka 20.
ahahahahahahahahahahahahaahahahaha.
umenichekesha sana mkuu
 
Write your reply...daah sitakaa nisahau alikuwa ni mwanafunzi nilikimbia usiku peku sikujali mbigiri wala miiba na bukta yangu ya chelsea kitumbo wazi kuwaepuka wagambo wazazi wakiume walinirushia ndonga likanipata kwenye bega mengine yalinikosa sitasahau

ila hivi viwanafunz vitamu aisee
ahahahahahahahahah...
brother Eyce hebu njoo ucheke huku.
 
Ahsante kwa kunileta huku maana nimechekaaa aseee hahaaa
ahahahahahahahahahahah.
vijana wana mabalaa hawaa.
kweli wanasemaga ukiona nyani mzee, basi kakwepa mishale ya kutosha.
ndio hii sasa
 
Aisee mimi nilifumaniwa na sms, ilikuwa jumamosi moja hivi tupo na wife bed tunetumzika unajua tena jmosi uchovu na nini sasa nikawa na chati na binti mmoja mrembo sana mtumishi wa umma tumechat kwa sms zote mpaka tukaafikiana location na atangulie achukuwe room kabisa mara paap bint amefika room akarusha picha yupo location tayari kwa game anakula santiana mimi fasta nikaingia bafuni nikapiga maji huyo niwahi mgegedo nikamuaga wife naenda kuchek game ya mpira nimefika kwenye tukio huku napasha kwa bia mbili tatu full kushikana na binti mara simu ya wife ikawa inaita akaniuliza niko wapi ni mwambia nachek game mahali fulani nikapataja akasema una hakika nikasema ndiyo akasema basi poa.. dakika mbili baadaye nikona kwenye simu zangu mvua za sms zote tulizokuwa nachat na binti mh...nilipagawa nilikuwa mdogo kama piriton nikaharisha game hapo hapo nikasepa zangu huku nyuma kilichotokea nitaweka uzi hapa siku moja ngoja siku zisonge kidogo.
[emoji16][emoji16][emoji16] malizia basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom