Chapakila
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 285
- 1,383
Ulikua mtindo wangu kila usiku sa sita sita ivi watu wamelala mimi nanyata kuelekea chumba cha beki tatu tandika mechi safi naenda kulala zangu najiona bingwa mwenyew kalikua katamu jamni 😁😁 basi 40 zikafika siku iyo nimenyata kama kawa nkaingia tukaanza mchezo siku iyo ilikua tamu kweli kweli mana sikusikia hata bi mkubwa akifungua mlango nkaona taa imewashwa tu aisee aliwaka pigwa makofi ya uhakka na beki tatu nae alichezea keleb za kutosha, msala uliisha kijuujuu tu japo alikuja kuondoka mana sio kwa aibu ile dah, sasa mda umepita tukawa sebuleni tunaangalia ze comedy tbc ikafika ile segment mwishon masanja anawachana watu wanaozingua si akaleta pigo za “na wale usiku ukifika mnanyata kwenda geto la mabeki tatu mpo mmetulia mnaangalia show!” maza alicheeeka kwanguvu nlijiskia vibaya 🤣🤣 dah kitambo sana.