Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Ulikua mtindo wangu kila usiku sa sita sita ivi watu wamelala mimi nanyata kuelekea chumba cha beki tatu tandika mechi safi naenda kulala zangu najiona bingwa mwenyew kalikua katamu jamni [emoji16][emoji16] basi 40 zikafika siku iyo nimenyata kama kawa nkaingia tukaanza mchezo siku iyo ilikua tamu kweli kweli mana sikusikia hata bi mkubwa akifungua mlango nkaona taa imewashwa tu aisee aliwaka pigwa makofi ya uhakka na beki tatu nae alichezea keleb za kutosha, msala uliisha kijuujuu tu japo alikuja kuondoka mana sio kwa aibu ile dah, sasa mda umepita tukawa sebuleni tunaangalia ze comedy tbc ikafika ile segment mwishon masanja anawachana watu wanaozingua si akaleta pigo za “na wale usiku ukifika mnanyata kwenda geto la mabeki tatu mpo mmetulia mnaangalia show!” maza alicheeeka kwanguvu nlijiskia vibaya 🤣🤣 dah kitambo sana.

🤣🤣🤣🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi itwa na demu niende kwao yupo alone. Kufika nikajiachia kama nipo kwetu. Ghafla dingi ake kageuka, ikabidi nijifanye nilikuja kurekebisha taa.

Dingi kauzu hatari, nahisi alinistukia. Maana baada ya kurekebisha ile taa, akanipa na genereta nilirekebisha wakati sijui chochote. Nikaomba niende home kufata vifaa, dingi kagoma,akanitolea tools zake pale, alaf akakaa pembeni anasoma gazeti.

Siwezi rudia ujinga wa kumfata demu kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yangu mtu wa totozi sana anaishi kijijini kama umbali wa kilometa 30 hivi kutoka mjini napoishi mimi. Sasa huyu jamaa kumbe alikua anamchakata demu fulani mke wa mtu. Nahisi wambea walimtonya mwenye mke kwani siku moja mwenye mke aliaga kua anasafiri lakini akarudi ghafla usiku mida kama saa 2-3 hivi.

Saa hiyo baharia wangu kashazama ndani mda mrefu anajilia vyake. Hamad jamaa kushtuka mwenye mke huyu hapa na ana bonge la sime! Sasa kosa alilofanya mwenye mke ni kuja mwenyewe kufumania, hakujua kama mgoni wake ni msuli mnene. Unaambiwa uliibuka mtanange pale ndani huku na huku jamaa yangu akafanikiwa kumpokonya sime na kumchoma nayo mwenye mke tumboni.

Jamaa akaanguka pale damu zinavuja mke kapiga ukunga watu wakaanza kujaa. Unaambiwa jamaa yangu alipopata upenyo alichomoka nduki kali. Kesho yake mida ya saa kumi na mbili asubuhi mi niko zangu geto nashangaa mshkaji anaibuka home kwangu yuko peku, kavaa bukta tu juu kifua wazi, matope mpaka kwenye meno (ulikuwa msimu wa mvua). Ndio jamaa kunihadithia kilichotokea na kwamba amekimbia tangu ule usiku mpaka asubuhi hiyo. Yeye akawa anajua ameua, ila kuja kufuatilia baadae tukajua kumbe jamaa hakufa ila tukaambiwa mshkaji anatafutwa na mandata. Basi jamaa alikaa kwangu kama mwezi then akahama akawa anasikilizia alipojua noma imeisha akarudi zake kijijini.
Duh noma sana mzee fumanizi nomaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka lkn sio mazuri sasa embu tuambie mwendelezo jamaa alivyorudi kijijini ilikuwaje lete stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh mwanangu noumaaaa sanaa sipati picha ilikuwaje bao lilirud au lilikata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikua mtindo wangu kila usiku sa sita sita ivi watu wamelala mimi nanyata kuelekea chumba cha beki tatu tandika mechi safi naenda kulala zangu najiona bingwa mwenyew kalikua katamu jamni [emoji16][emoji16] basi 40 zikafika siku iyo nimenyata kama kawa nkaingia tukaanza mchezo siku iyo ilikua tamu kweli kweli mana sikusikia hata bi mkubwa akifungua mlango nkaona taa imewashwa tu aisee aliwaka pigwa makofi ya uhakka na beki tatu nae alichezea keleb za kutosha, msala uliisha kijuujuu tu japo alikuja kuondoka mana sio kwa aibu ile dah, sasa mda umepita tukawa sebuleni tunaangalia ze comedy tbc ikafika ile segment mwishon masanja anawachana watu wanaozingua si akaleta pigo za “na wale usiku ukifika mnanyata kwenda geto la mabeki tatu mpo mmetulia mnaangalia show!” maza alicheeeka kwanguvu nlijiskia vibaya [emoji1787][emoji1787] dah kitambo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee mimi nilifumaniwa na sms, ilikuwa jumamosi moja hivi tupo na wife bed tunetumzika unajua tena jmosi uchovu na nini sasa nikawa na chati na binti mmoja mrembo sana mtumishi wa umma tumechat kwa sms zote mpaka tukaafikiana location na atangulie achukuwe room kabisa mara paap bint amefika room akarusha picha yupo location tayari kwa game anakula santiana mimi fasta nikaingia bafuni nikapiga maji huyo niwahi mgegedo nikamuaga wife naenda kuchek game ya mpira nimefika kwenye tukio huku napasha kwa bia mbili tatu full kushikana na binti mara simu ya wife ikawa inaita akaniuliza niko wapi ni mwambia nachek game mahali fulani nikapataja akasema una hakika nikasema ndiyo akasema basi poa.. dakika mbili baadaye nikona kwenye simu zangu mvua za sms zote tulizokuwa nachat na binti mh...nilipagawa nilikuwa mdogo kama piriton nikaharisha game hapo hapo nikasepa zangu huku nyuma kilichotokea nitaweka uzi hapa siku moja ngoja siku zisonge kidogo.
Mkeo yupo SMART kuliko wewe ndio maana alikudaka kizembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi mimi nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo. Sasa siku moja ya Jumamosi wife yeye akiwa ameenda ofisini kwake nikakaita kaje nyumbani, alivyokuja nikamgegedea kwenye chumba cha housegirl, yeye pia hakuwepo. Mara paap! nasikia geti linagongwa, kuchungulia ni wife. Nilimchukuwa yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti.

Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie housegirl (ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo). Wife alichukuwa document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mimi nikaendelea na mgegedo.

Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa.
Haya mambo Mkuu hatukomagi sijui kuna nini hapo kati!!! tatizo si tatizo sana, kufumaniwa ni burudani km umeruka viunzi , But ni hatari inayoweza kusababisha kifo cha Ghafla au polepole!!
Nevertheless wanawake ni werevu, kuliko mtu yeyote aweza fikiri, kimaisha ujanja wao unatuponya na Mengi,.. akhsanteni na tuendelee!

Jana Ijumaa majira ya saa tano asubuhi yamenikuta , sikwenda kazini nimezuga tu kitaa nikarudi zangu home, km kawa nikajaa Jf, wife yuko job!, katika maongezi ya kawaida shemeji yangu -19yrs yuko likizo ( CVD19) kaja sebuleni anachechemea!

Nikamuuliza ''kulikoni shemela? akajibu Mguu wauma!!! nkajibu ''haaa! ni sprain tu' chuwa na dawa ya Linment Alba ipo, nikampa hii hapa! ...
''shemela niiiichue jamaniii''... nkasema sawa,

Kumbe sprain iko nyuma ya magoti juu kidogo,... Lool! moyo wangu mie!.. nikachuwa bwana weee! , mpaka nikachuwa! kidogo kidogooo! si nikafika!!! bila ...! mmm!

Shida muda unaeenda na Ijumaa ni nusu siku kwa Wasabato, wanarudi mapema ajili ya Maandalizi ya Sabato, yaani siku inayo fuata ya jumamosi! wakati naendelea kuchua Pale, kivuli cha mke wangu kikakatiza dirishani fyaaa!!! kuelekea mlango mkubwa!

Ghafla bin vuuu! dogo mtu akazuga kwa kwi! kwi! serious na machozi juu! macho mekunduu! mimi sasa nikakazana kutumbulia mimacho JF, natikisa kichwa tu kimoyo moyo kwa uchungu! wa hayo niyafanyayo, najuta!.. hapa basi tena!... yule kaondoka na huyu ataondoka tu? Bila kutegemea....

Eeeeh! akaulizwa nini tena? ''shemeji kanipiga'' .... eti nimempiga shot !!!,..... heeeee! unataka kuniulia mume? mjifunzege! wewe hujui mambo haya ni hatari? kiroho kwatuuu! nikapata nguvu!

NIkapewa pole kwa matatizo, ''' yaani anataka kuni maliza huyu mdogo wako!'', eeeeh! dogo akawa amaeniokoa. nikaunganisha uzi pendwa!

yoote mpaka sasa sijui tutaendeleza libeneke au ndo kesha ogopa jumla, nasikilizia, lkn nawaasa JF ni Hatari msijaribu wala kuthubutu huu mchezo!
 
Nishawahi itwa na demu niende kwao yupo alone. Kufika nikajiachia kama nipo kwetu. Ghafla dingi ake kageuka, ikabidi nijifanye nilikuja kurekebisha taa.

Dingi kauzu hatari, nahisi alinistukia. Maana baada ya kurekebisha ile taa, akanipa na genereta nilirekebisha wakati sijui chochote. Nikaomba niende home kufata vifaa, dingi kagoma,akanitolea tools zake pale, alaf akakaa pembeni anasoma gazeti.

Siwezi rudia ujinga wa kumfata demu kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
daah kweli ni balaah
 
Hakuna kitu kama hicho kwa hakika ya mimi, nakwambia, just relax, kwa sababu tulikwenda deep zaidi!
ki-social political sphere! kuna tofauti kubwa ''kutupa na kusetiri kwa siri!

Kwanza Manka aliniingiza mkenge kwa siri, alikuja akijua amefanya nini, na mimi pia nilifanya Kuinusuru nafsi na mtego wa tit for tat! kwa siri! nilishiriki na mzee kwa siri, hujui kuwa ningeweza kufa kwa hasira ya wananchi?

Hakuna kitu Tata Duniani km watu wenye hasira kali! hawashitakiwi, hawafungwi, hawajulikani! kibaka ni bora afie polisi kuliko watu! Mafarisayo na Masadukayo walijua Yesu ni mwana wa Mungu ila waliogopa ...watu!

Mkuu unajua Indication ya Postmortems? kwa nini inafanywa? inafanyiwa wapi? na Tabibu wa level gani?, wangapi wanakuwepo? na kwa nini wawepo hao? na kwa nini asifanyiwe mfu yeyote, ukiisoma na kuielewa hii unapata majibu!

Halafu wale Ma-askari wewe waonege hivihivi tu! wanapita! mtaani kwenu, na uniform zao wako very smart than you can simply imagine, uwezo wa hali ya juu! hata kwa kuangalia tu! Kinyonga akasome!

Uongo wa kuponya nafsi unaruhusiwa kisheria, hata km umetenda kosa! any way ukisoma mpaka mwisho utajua then simply utasema ''alah! kumbee! km ni hivo sawa!''

Mkuu uchunguzi mpya wa ki-hivo unaosema ni wa kizamani sana, Hao polisi wa ivo walisha kufa kwanza mbali na kustaaf,

Siku hizi Jeshi la polisi ni Modern and well sophisticated and computerised, ni sikitoto! wanajua kila mbongo, na ki-mwenendo! tuko million kadhaa tu, hamjai hata saver moja ya Jf,

Mkuu mfumo huu ni tofauti sana kwani hapo ulipo una cards ngapi? kuanzia na ya kupiga kura, ukifa leo computer ina-record, labda uwe nje ya huu mfumo wetu maridhawa, mkuu una Bima ya Afya?

Hata wewe hapo wanakujua! eb fikiri Gari yako inadaiwa wakiiona tu, unapigwa fine lipa kabla ya muda fulani, tena mwenyewe na nafsi yako chumbani kwako!

Uki-speed popote! utapata sms ina command Nyarusare lipa ume-speed leo pale Mbwewe, ukitokea Moshi kuja DSm! saa 9.5Am, tulikupa onyo mara kadhaa! umerudia lipa!

Sasa wanakuja na Camera za mitaani wee subiri tu, jipe muda, tena siyo za kutundika sijui maghorfani, no but indivisible Ba-loon Cameras survey, nchi nzima! ndo maana wanazuia Drone bila kibali.

Ukiwa na kosa lolote lile, km uko vizuri kimfumo, unajulishwa kwa sms, unajibu hapohapo, ukikaidi ndo unafuatwa, kwa shuruti, mkuu umefikiri kizamani kidogo!
Mkuu ukiona yafaa, naomab hiki kisa chako ukianzishie uzi wake maalumu ili tuweze kukisoma vizuri maana hapa wengine wa smati kitochi tunashindwa kupata mtiririko wake kwa usahihi
Ni imani yangu kuwa Ombi litazingatiwa
 
Haya mambo Mkuu hatukomagi sijui kuna nini hapo kati!!! tatizo si tatizo sana, kufumaniwa ni burudani km umeruka viunzi , But ni hatari inayoweza kusababisha kifo cha Ghafla au polepole!!
Nevertheless wanawake ni werevu, kuliko mtu yeyote aweza fikiri, kimaisha ujanja wao unatuponya na Mengi,.. akhsanteni na tuendelee!

Jana Ijumaa majira ya saa tano asubuhi yamenikuta , sikwenda kazini nimezuga tu kitaa nikarudi zangu home, km kawa nikajaa Jf, wife yuko job!, katika maongezi ya kawaida shemeji yangu -19yrs yuko likizo ( CVD19) kaja sebuleni anachechemea!

Nikamuuliza ''kulikoni shemela? akajibu Mguu wauma!!! nkajibu ''haaa! ni sprain tu' chuwa na dawa ya Linment Alba ipo, nikampa hii hapa! ...
''shemela niiiichue jamaniii''... nkasema sawa,

Kumbe sprain iko nyuma ya magoti juu kidogo,... Lool! moyo wangu mie!.. nikachuwa bwana weee! , mpaka nikachuwa! kidogo kidogooo! si nikafika!!! bila ...! mmm!

Shida muda unaeenda na Ijumaa ni nusu siku kwa Wasabato, wanarudi mapema ajili ya Maandalizi ya Sabato, yaani siku inayo fuata ya jumamosi! wakati naendelea kuchua Pale, kivuli cha mke wangu kikakatiza dirishani fyaaa!!! kuelekea mlango mkubwa!

Ghafla bin vuuu! dogo mtu akazuga kwa kwi! kwi! serious na machozi juu! macho mekunduu! mimi sasa nikakazana kutumbulia mimacho JF, natikisa kichwa tu kimoyo moyo kwa uchungu! wa hayo niyafanyayo, najuta!.. hapa basi tena!... yule kaondoka na huyu ataondoka tu? Bila kutegemea....

Eeeeh! akaulizwa nini tena? ''shemeji kanipiga'' .... eti nimempiga shot !!!,..... heeeee! unataka kuniulia mume? mjifunzege! wewe hujui mambo haya ni hatari? kiroho kwatuuu! nikapata nguvu!

NIkapewa pole kwa matatizo, ''' yaani anataka kuni maliza huyu mdogo wako!'', eeeeh! dogo akawa amaeniokoa. nikaunganisha uzi pendwa!

yoote mpaka sasa sijui tutaendeleza libeneke au ndo kesha ogopa jumla, nasikilizia, lkn nawaasa JF ni Hatari msijaribu wala kuthubutu huu mchezo!
Hujamalizia ile story

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Duh noma sana mzee fumanizi nomaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka lkn sio mazuri sasa embu tuambie mwendelezo jamaa alivyorudi kijijini ilikuwaje lete stori

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tope hadi kwenye meno hii kali ya mwaka
 
Back
Top Bottom