Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #61
Sawa sawa watu walikuwa wanataka ujuziSiku hizi rahisi tu unakuta mtu katoka shule za kawaida anakwenda technical college, zamani mwanafunzi mwenyewe ndo anataka kwenda FTC mpaka na sie tusiokuwa wa ufundi tulikuwa tunawinda kwenda huko matokeo yake unajikuta umetupwa PCB na wengine PCM
Hiyo sio lugha yangu ya kwanza mkuu na mimi nimesoma Sayansi sioKiingereza haikupendi mkuu '...despite of..!!'.
JAPANESE UNCENSOREDNyie wa Mount Kenya mnashida gani, mambo ya
Gachugua the sixth ya nini.
Ni watoto wetu.Kumbe kuna wadogo zetu humuu, daaah
Ujumbe umefika boss, nimependa ulivyokubali kosa..utafika mbali kwenye maishaHiyo sio lugha yangu ya kwanza mkuu na mimi nimesoma Sayansi sio
Literature au Language. Ila nashukuru mtaalam wa lugha nimeshaondoa hiyo
of
Nashukuru mkuu learning is continuous process, kwa sisiUjumbe umefika boss, nimependa ulivyokubali kosa..utafika mbali kwenye maisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dishi limeyumba huyo, tahila la Jf tangu miaka iyo,
Ndio roho ya utajiri wa kina Max huyo..............
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni watoto wetu.
Hiyo Hata Mts vizazi vyetu 1992/98 walitengeneza Pale Azimio,Lumumba na Karume zilikuwepo hizo FM radioMusoma tech nakumbuka wale watoto waliwahi kutengeneza radio station ikawa inaweza kusikika eneo lote la shule na maeneo jirani.
Unamkumbuka Zee la Nyeti ?ππππNmesoma ifunda tech sec school
Kuanzia olevel hadi adv
Olevel nilisoma Civil engineering option ya brickwork and masonary vilevile
Mwaka gani brother mimi nimeingia 2013-2019Unamkumbuka Zee la Nyeti ?ππππ