Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #61
Sawa sawa watu walikuwa wanataka ujuziSiku hizi rahisi tu unakuta mtu katoka shule za kawaida anakwenda technical college, zamani mwanafunzi mwenyewe ndo anataka kwenda FTC mpaka na sie tusiokuwa wa ufundi tulikuwa tunawinda kwenda huko matokeo yake unajikuta umetupwa PCB na wengine PCM