Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Serengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)✅

Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko
Karatu?
Kuna nini sasa hapo?.
Utalii wa watoto wenyeji?
Karibu Gibsfarm karatu milimani kwa Wajerumani
 
IMG_8008.jpg

IMG_8007.jpg

IMG_7995.jpg

IMG_8014.jpg

IMG_8015.jpg

IMG_8005.jpg


Utengule Mbeya, ukifika mbalizi unaingia ndani kidogo......Kumejificha, kumetulia sana....ni sehemu Bomba sana ya Kurelax........entrace fee 40,000
 
Ngorongoro ✅
Arusha NP ✅
Tanzip- zipline- mto wa mbu ✅
Saa 8 Island ✅
Manyara ✅
Serval wildlife✅



Mungu akinibariki
-Serengeti..
- Znz…
-Magoroto..
 
Narudia tena.. hakuna kama Serengeti duniani. Sio Tanzania wala Africa.. I mean duniani. Ambao hamjawahi kufika Serengeti poleni sana.
FB_IMG_1677245770623.jpg
 
Serengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)[emoji736]

Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko
Hizo sehemu unazotamani kwenda ukifika usitusahau na sisi watu wa kwenye uzi mkuu.

Tutakuwa hapa tu tunaskiliza experience yako kutoka kwenye hizo sehemu
 
Back
Top Bottom