The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Yes magoroto forest, pisi kali nyingi za kaskazini wanapenda hii location, basi demu wa kaskazini ukimwambia unampeleka magoroto unakuwa umemchanganya akili..Magoroto forests, Muheza, Tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes magoroto forest, pisi kali nyingi za kaskazini wanapenda hii location, basi demu wa kaskazini ukimwambia unampeleka magoroto unakuwa umemchanganya akili..Magoroto forests, Muheza, Tanga
Mkuu hakika uli enjoy mno, gharamà zake zinakuwa kiasi gani ,usafiri ,maladhi, chakula, tujikoki!!Nilikwenda nje mji kuna mapolomoko ya maji usiku kuna miale ya taa aysee Mungu ana rehema nyingi sana..
Nikapita Blue lagoon nilishinda siku nzima, Nilibahatika kukutana na Bosi mkuu wa UN...
Nasemaje pesa ndiyo mchawi mademu wa kaskazini wote wanapagawa wakienda huko magoroto.MKUU KUNA SEHEMU KAMA KAJIFOREST ZISLAND FULANI IVI NAZANI IPO KOROGWE NDANI NDANI , PANAITWA MAGOROTO DAAH KWA BATA HATARIIII
KimyaaaaaSoon nitawaandalia tour mbali mbali wanaJF. Tuwe na kitu chetu kinachotuunganisha kule Twitter kuna TOT Bonanza. Ila JF tuje na tours.
Pale naona wazungu ndo inawafaa pamekaa kama uswazi sjui ndo african cultureKale kagofu kapo kwenye ule uchochoro! Sijawahi ingia pale ile nikipita naona Ka swimming pool ndani
Umetisha sana mzee. Ebu andika uzi kutupa ABC za kuingia na gharama in summary.Nimetembelea Ngorongoro,Talangile,Lake Mnayara Now naPlan kuingia Serengeti nantalala ndani ya Hifadhi nachukua kibali cha mchana ili nilale Ndani ya Hifadhi
Ukipata Pesa Jitoe OUT ukarefreshi Mind
View attachment 1955533View attachment 1955534View attachment 1955536View attachment 1955535View attachment 1955537
Asante Kwa informationKama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Unialike nikujoinRuaha national park,mikumi national park....ila ni muda kidogo umepita,Sina hata picha...
Na nchi chache za Africa....
I'm planning Tena nitembelee hizi national parks zetu
KaribuUnialike nikujoin
EwaaKaribu
mkihitahi dreva nipo niko na hardtop diffEwaa
Usijali mkuu asante.mkihitahi dreva nipo niko na hardtop diff
Tutakuja tukiwa tumevaa mask usoniSoon nitawaandalia tour mbali mbali wanaJF. Tuwe na kitu chetu kinachotuunganisha kule Twitter kuna TOT Bonanza. Ila JF tuje na tours.
Ukitembelea usisahau kutupa experience ya huko mkuu [emoji28]Ruaha national park,mikumi national park....ila ni muda kidogo umepita,Sina hata picha...
Na nchi chache za Africa....
I'm planning Tena nitembelee hizi national parks zetu