Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Nilikwenda nje mji kuna mapolomoko ya maji usiku kuna miale ya taa aysee Mungu ana rehema nyingi sana..
Nikapita Blue lagoon nilishinda siku nzima, Nilibahatika kukutana na Bosi mkuu wa UN...
Mkuu hakika uli enjoy mno, gharamà zake zinakuwa kiasi gani ,usafiri ,maladhi, chakula, tujikoki!!
 
MKUU KUNA SEHEMU KAMA KAJIFOREST ZISLAND FULANI IVI NAZANI IPO KOROGWE NDANI NDANI , PANAITWA MAGOROTO DAAH KWA BATA HATARIIII
Nasemaje pesa ndiyo mchawi mademu wa kaskazini wote wanapagawa wakienda huko magoroto.
 
Nimebahatika kwenda serengeti na kulala camp huko mbugani it was a nice experience, Ngorongoro nimefika hadi kule crater nayo ni nice experience. Vocation inasaidia mind kurelax
 
Kale kagofu kapo kwenye ule uchochoro! Sijawahi ingia pale ile nikipita naona Ka swimming pool ndani
Pale naona wazungu ndo inawafaa pamekaa kama uswazi sjui ndo african culture
 
PXL_20230326_090231320~2.jpg

Soni waterfalls lushoto,tanga
PXL_20230203_143535147.jpg

Raskazone beach,Tanga
Screenshot_20230328-125552~3.png

Ziwa Kisiba,Mbeya
Screenshot_20230328-125518~2.png

Waterfalls mbeya.
Screenshot_20230328-125528~2.png

Daraja la Mungu,mbeya
 

Attachments

  • Screenshot_20230328-125552.png
    Screenshot_20230328-125552.png
    328.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20230328-125518.png
    Screenshot_20230328-125518.png
    1 MB · Views: 15
  • Screenshot_20230328-125528.png
    Screenshot_20230328-125528.png
    564.7 KB · Views: 11
Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Asante Kwa information
 
Ruaha national park,mikumi national park....ila ni muda kidogo umepita,Sina hata picha...
Na nchi chache za Africa....
I'm planning Tena nitembelee hizi national parks zetu
Ukitembelea usisahau kutupa experience ya huko mkuu [emoji28]
 
Serengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)✅

Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko
 
Back
Top Bottom