TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Wazee wa viti virefu a.k.a vyombo hapo ndiyo kwao, usisahau wazee wa mabaka mabaka hapa ni kama wote.Duh, kumbe ni maeneo ya watu wa hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa viti virefu a.k.a vyombo hapo ndiyo kwao, usisahau wazee wa mabaka mabaka hapa ni kama wote.Duh, kumbe ni maeneo ya watu wa hatari
Ulitumia bajeti gani mkuuMwezi uliopita nilienda Zenji shamba kule Paje nikatulia hotel moja matata sana ya muitaliano siku 3. Ni katika siku chache nilizoenjoy hii dunia
View attachment 2192883
Gharama za malazi zikoje hapoMwezi uliopita nilienda Zenji shamba kule Paje nikatulia hotel moja matata sana ya muitaliano siku 3. Ni katika siku chache nilizoenjoy hii dunia
View attachment 2192883
Kuna kahotel kamoja kako Bagamoyo kanaitwa Firefly niliendaga na famikia Christmas [emoji319] moja. Tulienjoy sana
Ukitaka kuiona tazama wimbo wa Marioo - Ifunanya wameshuti pale.
Kama ni mwanamke nenda Warere Hotel, Zanzibar.Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.
Karibu uweke comment yako.
hili suala lilifikia wapi????Soon nitawaandalia tour mbali mbali wanaJF. Tuwe na kitu chetu kinachotuunganisha kule Twitter kuna TOT Bonanza. Ila JF tuje na tours.
Utafurahia Utalii wako vizuri sana.Kama ni mwanamke nenda Warere Hotel, Zanzibar.
Ahahahahahaha!!!Utafurahia Utalii wako vizuri sana.
Nilitembelea hapo siku ya Pasaka.Kinukamori Marangu mtoni Moshi ...very cheap and affordable to everyone na uta enjoy...tatizo ni ya day trip tu utaogelea na kufurahia maisha
hata huku kijijini kwetu mambo ni motooooo
Maji ya baridi kinoma.N sehemu ya kuogelea juu...wakati wa joto ni full mzukaaaa
Kama Arusha haipo list ni batiliLocal
Bagamoyo
Zanzibar
Lushoto.
Tanga
Karatu kuna kitu kiko Gibs farm..kitu ya Mjerumani acha kabisa.Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Karatu kuna kitu kiko Gibs farm..kitu ya Mjerumani acha kabisa.
Mazingira tulivu hutotamani kuondoka.
Wazungu waheshimiwe
Gibbs farm Karatu.Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Budget ya hotel please?
Ni miaka 5 imepita mkuu.Budget ya hotel please?
Kitambo ilikuwaga $50/night mkuuGharama zake zikoje mzee?