Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Mwezi uliopita nilienda Zenji shamba kule Paje nikatulia hotel moja matata sana ya muitaliano siku 3. Ni katika siku chache nilizoenjoy hii dunia

20220129_093606.jpg
 
Wakuu,maeneo mazuri kwa Tanga mjini tuhabarishane Please.
 
Kuna kahotel kamoja kako Bagamoyo kanaitwa Firefly niliendaga na famikia Christmas [emoji319] moja. Tulienjoy sana

Ukitaka kuiona tazama wimbo wa Marioo - Ifunanya wameshuti pale.

Funza dume habari za siku
 
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.

Karibu uweke comment yako.
Kama ni mwanamke nenda Warere Hotel, Zanzibar.
 
Soon nitawaandalia tour mbali mbali wanaJF. Tuwe na kitu chetu kinachotuunganisha kule Twitter kuna TOT Bonanza. Ila JF tuje na tours.
hili suala lilifikia wapi????
 
Natamani siku nifike

Magorota

Serengeti

Ngorongoro na

Zanzibar
 
Kinukamori Marangu mtoni Moshi ...very cheap and affordable to everyone na uta enjoy...tatizo ni ya day trip tu utaogelea na kufurahia maisha

hata huku kijijini kwetu mambo ni motooooo
Nilitembelea hapo siku ya Pasaka.
 
Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Karatu kuna kitu kiko Gibs farm..kitu ya Mjerumani acha kabisa.
Mazingira tulivu hutotamani kuondoka.

Wazungu waheshimiwe
 
Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200, maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Gibbs farm Karatu.

IMG-20220419-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom