Karatu?Serengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)✅
Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko
Ndugu, mtoto wa kijerumani anapatikana hapo nikija?Karatu?
Kuna nini sasa hapo?.
Utalii wa watoto wenyeji?
Karibu Gibsfarm karatu milimani kwa Wajerumani
Nitakupeleka boss wanguSerengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)✅
Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko
Wapo wazazi watoto wako German mkuu.Ndugu, mtoto wa kijerumani anapatikana hapo nikija?
ulikuwa wapi?Serengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)✅
Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko
Kama kuna wazee tupu basi hakuwezi kunoga nduguWapo wazazi watoto wako German mkuu.
Tembelea Gibsfarm hutojutia pesa yako mkuu. Ni Ulaya Ulaya
Dubai.....uwezi jutia
Nakataa!Dubai.....uwezi jutia
Kama kuna wazee tupu basi hakuwezi
haha
Nchi za Africa? Kama vile? Natamani kutembea AfricaRuaha national park,mikumi national park....ila ni muda kidogo umepita,Sina hata picha...
Na nchi chache za Africa....
I'm planning Tena nitembelee hizi national parks zetu
😂😂🙆♀️ wapi panakuvutia kiasi hicho??Ngorongoro….this place sichokagi kwenda
Sere na creater wapi palikubamba sana?Nimeshafika Serengeti, Ngorongoro, Mikumi, Bagamoyo, Zanzibar..
ngorongoro potee, nimefanikiwa kuzunguka almost mbuga nzima na vile vijiji vya wamasai…i loved everything there😂😂🙆♀️ wapi panakuvutia kiasi hicho??
40k Kiingilio sehemu kama hii mkuu au ni gharama za kulala?View attachment 2611327
View attachment 2611328
View attachment 2611329
View attachment 2611330
View attachment 2611331
View attachment 2611332
Utengule Mbeya, ukifika mbalizi unaingia ndani kidogo......Kumejificha, kumetulia sana....ni sehemu Bomba sana ya Kurelax........entrace fee 40,000
Hizo sehemu unazotamani kwenda ukifika usitusahau na sisi watu wa kwenye uzi mkuu.Serengeti,ngongoro crater,Zanzibar😛aje,jambiani,makunduchi,nungwi(ingawa Kwa uchache)[emoji736]
Sehemu ninazotamani kwenda ni karatu,lushoto,mbeya na kwengineko