Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Nmeipenda hii kumbe nikiwa na million 3 natoboa?

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.

Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
 
Dah kumbe gharama za kawaida.. ngoja niweke target next year.
 
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kudi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi
Sema nikirud ntakua nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
[emoji3][emoji3][emoji3] lakini utakuwa umeweka rekodi
 
tembelea youtube acc ya osse utaweza kuona sehemu mbali mbali za ww kutembelea na familia yako
moja wapo ni hii vid utaona uko Ta kuna mahala panaitwa the clif
#mchawi Pesa


Hii The Cliff nimeiweka kwenye mipango.....
 

Nimekupa Like Mkuu...
Ila Vacation wapi
Lushoto nasikia Kuna Hali ya Hewa Nzuri Baridi na Miti au kuna kingine?

Bagamoyo nasomaga tuu Kwenye history kuwa kuna Magofu na Nyumba za Kale, Sijui Kama Kuna Kingine! Au kuna Kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…