Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
bado umeivaa?Mkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado umeivaa?Mkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Atakuwa sio riskiWe mtu ni mshamba sana....unadhani nchi ya babaako hii? Taifa stars na Bavicha vinahusiana vipi...uwe unaacha upuuzi au shoga wewe?.
We jamaa kunywa pepsi kwa mangi nakuja kulipa! Du wewe unaweza hata ukajua alipo Mo! Umetisha sanaNyie wa Cape verde feki ndio mnaostahiki kutekwa. Mimi naitakia ushindi Taifa stars. (Msuva 1, Samata 1. Full time 2:0)
Hahahaha.. Mkuu nilikua nachangamsha genge.Hahahahha we jamaaa bana mbumbumbu sana mtani
Meza imepinduliwa uko
mchicha mwituAtakuwa sio riski
hiyo misukuleMliokuwa mnashabikia Cape Verde nendeni hukohuko Cape Verde nyie ndio mnaoleta nuksi Taifa Stars,mkishabikia Stars inafungwa mkiondoka tunashinda,bakini hukohuko ugenini
Hujui mpira wewe nenda jukwaa la Siasa huko,kila kitu unaleta Siasa unaboaMabavicha leo yatalia kweli kweli.
Hahahaha huna lolote mkuuHahahaha.. Mkuu nilikua nachangamsha genge.
"Once a Tanzanian, Always a Tanzanian."
Leo imekula kwenu. Eti oh tushangilie Cape Verde dhidi ya Tanzania. Ona sasa.Hujui mpira wewe nenda jukwaa la Siasa huko,kila kitu unaleta Siasa unaboa
Wenzio wameishiwa bando,nyie ndo mlikuwa mnaleta mikosi StarsIna mana humu mshangiliaji wa Cape Verde nimebaki peke angu au??
Wabongo ni wanafiki sanaHahahaha.. Mkuu nilikua nachangamsha genge.
"Once a Tanzanian, Always a Tanzanian."
Mkuu lakini sisi nasi ni Watanzania wenzenu??Mliokuwa mnashabikia Cape Verde nendeni hukohuko Cape Verde nyie ndio mnaoleta nuksi Taifa Stars,mkishabikia Stars inafungwa mkiondoka tunashinda,bakini hukohuko ugenini
Huyu jamaa anatutafutia ban tu kakosea jukwaa watu tupo na burudani ya mpira ye analeta Siasa,huyu atakuwa MCape Verde tu huyuWe mtu ni mshamba sana....unadhani nchi ya babaako hii? Taifa stars na Bavicha vinahusiana vipi...uwe unaacha upuuzi au shoga wewe?.
Teh teh tehMimi mr Amani bila kushawishiwa ama kutishiwa na mtu rasmi naunga juhudi ya timu yangu yataifa TAIFA STARS
Nime fanya uchunguzi wa kisayansi nikagundua capverde walikua wana tuhadaa wananchi niwe mkweli kwa watanzania wenzangu TURUDINI NYUMBANI KUMENOGA
Mashabiki wenzangu wa Taifa Stars TujipongezeMini ni shabiki wa Taifa stars...
Baada ya mechi sitaki shobo na mtu..
Maana najua tu.. leo lazima tushinde
Hahaha.. Sasa Mkuu katika timu, zaidi ya 25% ni 'vijana wangu' kwanini nisiisupoti?? Taifa Stars ni chama langu.Hahahaha huna lolote mkuu