Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Android ni Os bora kuliko iOS by default.
Tatizo linakuja pale iOs ina simu hazifiki 30
wakati android ina simu zaidi ya 10,000

iOs kwa mwaka inatengenezewa simu moja au mbili wakati Android ina simu 1000 kwa mwaka.

Kwahyo watu wanaotengeneza apps ni rahisi kuzi'customise zikafanya kazi vizuri kwa ajili ya iOs kwasababu devices zake ni chache...Lakini ni ngumu kutengeneza app itakayofanya kazi kwa ajili ya devices tofaut tofaut zaid ya 1000.

Ndomana iOs inaonekana bora kuliko Android
ila by default ukitoa hiyo factor...androud ni better operating system
 
Thread ni ya kijinga alieianzisha hajielewi mara hawawezi mara walikuwa na VPN kabla sasa hata wewe mwenye android toa VPN yako halafu zima “install apps from unknown sources” uone kama utainstall hivyo VPN kama unavyotamba kuinstall from unknown sources hata mtu wa iphone anaweza akitaka ila kuna hatua za kupitia ungekuwa na iphone ningekuelekeza ila acha nikupuuze tu.
 

 
Wewe jamaa bana, attack thread sio mtoa mada! Utakuwa una shida mahali sio bure!
Hizo Process zote nazijua mzee wala kwangu hamna kigeni kwahio usihisi utanikomoa. Ishu ni huo usumbufu wa kuinstall VPN kwenywe iPhone ni mkubwa sana kiasi kwamba Android made it look easy. Thats the topic on deck!
 

sio kweli master na use iphone na niko on wire
 
Mpaka ku jail break? Ku void warranty.

There is no contest here mkuu. Take your beating like a man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…