Hata wakija ukweli ndio huo...... Ooooo sijui security.... Wanaijua security ya makalio tu ila sio ya IT..... Sasa wamebaki kama yatima...... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Subiri wafunguliwe!!! Watakunanga na Tekno yako ajaajajajajajjahahahahahhahahajajajajajahahahahajajajjahahahaj
Kama hukuweka kabla ya internet kupigwa pini ni ngumu sana , nilikuwa natumia Turbo VPN kabla kwa hiyo walivyofunga ilikuwa kama kumsukuma mleviNisaidie link bc ya vpn
Sijaongelea hilo mimi.......ishu nasemea option za kuinstall apps kwenye iphone nje ya appstore maana wengi hawakua na access ya appstore sasa wangedownload wapi hio vpn..............sijasema kwamba iphone haiwezi kuinstall VPN mimi nilikazia pale kwenye kuinstall apps bila kua na access ya appstore
Mimi nasemea tu njia simple kwa layman maana hao ndo wengi wanaotumia iphone sijasema kwamba hamna njia nyngne.......android hamna cha itune wala utune app shusha popote unainstall bila shida yeyoteNaomba nikujibu na wewe unafahamu options ngapi za kuinstall app kwenye Android? Mie nakutajia zipo nne nitakuomba uzitaje
Sasa tuje Kwenye iphone achana na jailbreak
Kuna njia mbili za kuinstall apps
Kutumia AppStore njia nyingine unaweza download software za iPhone hata kama ni za kulipia kwenye Torrents na ukaiweka kwenye iphone yako kutumia iTune sijui unaweza hoja gani mkuu? Naamini utakuwa na Habari ya usumbufu wote wa nini, nikuambie kabisa tunajaribu uwezekano wa chochote unachofanya Kwenye android kinawezekaba kwenye iOS labda kama una malengo ya kujifunza unauliza ila ukiwa haujui kitu unaishia kukiponda mie naonaga ni aina flani ya ujinga ambapo walternative ya mjini a siku zote ni jambo lililo rahisi.
Kama hukuweka kabla ya internet kupigwa pini ni ngumu sana , nilikuwa natumia Turbo VPN kabla kwa hiyo walivyofunga ilikuwa kama kumsukuma mlevi
Mimi nasemea tu njia simple kwa layman maana hao ndo wengi wanaotumia iphone sijasema kwamba hamna njia nyngne.......android hamna cha itune wala utune app shusha popote unainstall bila shida yeyote
Nisaidie link bc ya vpn
Iwe chakavu iwe mpya nimeipenda hivyo ilivyoWe jamaa una uchungu sana na hako ka iPhone kako chakavu ka Makumbusho 😂😂😂!!! Let a nigga exhale...
sasa Mzee mi natumia Xiaomi ina VPN kwenye setting yake Ila kuna vitu natakiwa kujaza sasa inanizengua naomba msaadaIphone X, ila naperuzi kama kawa kuanzia wasap, insta, twitter. VPN ipo kwenye setting ya simu yangu bila hata kuudownload.
Hamna watu vilaza kama watumiaji iphone hasa wabongo .....wazee wa isheep........vpn tumeanza kuzichezea mda hasa kwenye kuchakachua net ya bureKitu kuwa simple au kigumu ni mtazamo wako tu, so unareport ya watu wangapi wa androids wapo offline leo ? Au TZ layman’s wote wapo vizuri kwenye kuweka hizo VPN hata Kwa androids? kwanza wanauelewa nayo we mwenyewe hata kujua VPN ni nini umejua lini? Na je unajua hata kirefu chake achilia mbali kirefu unajua maana ya dhana nzima ya VPN?
Wasalaam,
Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!
Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23] toka jana hama insta[emoji23], gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!
Android OS is the best ever OS to be invented!
Mimi nasemea tu njia simple kwa layman maana hao ndo wengi wanaotumia iphone sijasema kwamba hamna njia nyngne.......android hamna cha itune wala utune app shusha popote unainstall bila shida yeyote
Ila wa apple ndo wamezidiNadhani hujamuelewa mkuu...ukiwa mvivu wa kujifunza hata kitu rahisi kitakushinda.
Jana ofisini nimewa’hotspot watu watatu na kuwadownloadia Vpn kupitia browser na hao wote ni watumiaji wa Android.
Sasa pamoja na huo urahisi lakini kuna watu wa Android bado hawana hizo simple basics za installation ya Apps kupitia browser.
Ila wa apple ndo wamezidi
Kwa data zangu binafsi (na ndicho nakiongelea hapa) watu wa ios wengi hili janga ndo limewapiga zaidiHapo kuwa wa upande flani wamezidi hatuna hesabu kamili au la, kwa hiyo tukubaliane tuu kuwa Ios na Android bila kuwa mdadisi huwezi kuwa hewani mida hii.