Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Hawa consumers wa hizi kitu huwa wananifurahisha sana..... Maana huwa wanajifanya kuwa Manufacturers.... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umasikini wa akili mbaya sana.... Tuwaombee tu.... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Subiri wafunguliwe!!! Watakunanga na Tekno yako ajaajajajajajjahahahahahhahahajajajajajahahahahajajajjahahahaj
Hata wakija ukweli ndio huo...... Ooooo sijui security.... Wanaijua security ya makalio tu ila sio ya IT..... Sasa wamebaki kama yatima...... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Sijaongelea hilo mimi.......ishu nasemea option za kuinstall apps kwenye iphone nje ya appstore maana wengi hawakua na access ya appstore sasa wangedownload wapi hio vpn..............sijasema kwamba iphone haiwezi kuinstall VPN mimi nilikazia pale kwenye kuinstall apps bila kua na access ya appstore

Naomba nikujibu na wewe unafahamu options ngapi za kuinstall app kwenye Android? Mie nakutajia zipo nne nitakuomba uzitaje
Sasa tuje Kwenye iphone achana na jailbreak
Kuna njia mbili za kuinstall apps
Kutumia AppStore njia nyingine unaweza download software za iPhone hata kama ni za kulipia kwenye Torrents na ukaiweka kwenye iphone yako kutumia iTune sijui unaweza hoja gani mkuu? Naamini utakuwa na Habari ya usumbufu wote wa nini, nikuambie kabisa tunajaribu uwezekano wa chochote unachofanya Kwenye android kinawezekaba kwenye iOS labda kama una malengo ya kujifunza unauliza ila ukiwa haujui kitu unaishia kukiponda mie naonaga ni aina flani ya ujinga ambapo walternative ya mjini a siku zote ni jambo lililo rahisi.
 
Mimi nasemea tu njia simple kwa layman maana hao ndo wengi wanaotumia iphone sijasema kwamba hamna njia nyngne.......android hamna cha itune wala utune app shusha popote unainstall bila shida yeyote
 
Kama hukuweka kabla ya internet kupigwa pini ni ngumu sana , nilikuwa natumia Turbo VPN kabla kwa hiyo walivyofunga ilikuwa kama kumsukuma mlevi

Unaweza kujiunga ukiwa kwenye WIFI mimi Jana nilitumia WIFI usiku saa 5 ndio ikakubali so wengine watumie njia hiyo ina kubali nami niliangaika sana kabla kujaribu na WIFI
 
Mimi nasemea tu njia simple kwa layman maana hao ndo wengi wanaotumia iphone sijasema kwamba hamna njia nyngne.......android hamna cha itune wala utune app shusha popote unainstall bila shida yeyote

Kitu kuwa simple au kigumu ni mtazamo wako tu, so unareport ya watu wangapi wa androids wapo offline leo ? Au TZ layman’s wote wapo vizuri kwenye kuweka hizo VPN hata Kwa androids? kwanza wanauelewa nayo we mwenyewe hata kujua VPN ni nini umejua lini? Na je unajua hata kirefu chake achilia mbali kirefu unajua maana ya dhana nzima ya VPN?
 
Iphone X, ila naperuzi kama kawa kuanzia wasap, insta, twitter. VPN ipo kwenye setting ya simu yangu bila hata kuudownload.
 
We jamaa una uchungu sana na hako ka iPhone kako chakavu ka Makumbusho 😂😂😂!!! Let a nigga exhale...
Iwe chakavu iwe mpya nimeipenda hivyo ilivyo
Kuliko kuisemea apple uongo ambao haihusiki nao
Uzi uliuanzisha kwa mbwembwe na bashasha masimango na kejeli za kila aina kwa team tunda then holaaah
Wabheja sana nyanda
 
Iphone X, ila naperuzi kama kawa kuanzia wasap, insta, twitter. VPN ipo kwenye setting ya simu yangu bila hata kuudownload.
sasa Mzee mi natumia Xiaomi ina VPN kwenye setting yake Ila kuna vitu natakiwa kujaza sasa inanizengua naomba msaada
 
Kitu kuwa simple au kigumu ni mtazamo wako tu, so unareport ya watu wangapi wa androids wapo offline leo ? Au TZ layman’s wote wapo vizuri kwenye kuweka hizo VPN hata Kwa androids? kwanza wanauelewa nayo we mwenyewe hata kujua VPN ni nini umejua lini? Na je unajua hata kirefu chake achilia mbali kirefu unajua maana ya dhana nzima ya VPN?
Hamna watu vilaza kama watumiaji iphone hasa wabongo .....wazee wa isheep........vpn tumeanza kuzichezea mda hasa kwenye kuchakachua net ya bure
 
Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23] toka jana hama insta[emoji23], gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!

mkuu mbona me nateleza tu au sijaelewa inakuwaje ? huyo alotandikwa kombora simu yake mbovu
 
Tena kwene IOS vpn inaenda kujiembed moja kwa moja kwene setting yan ukishainstall app hauna haja ya kuifungua tena yan unakuwa unaenda setting unaweka on and off app ya vpn huigusi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nasemea tu njia simple kwa layman maana hao ndo wengi wanaotumia iphone sijasema kwamba hamna njia nyngne.......android hamna cha itune wala utune app shusha popote unainstall bila shida yeyote

Nadhani hujamuelewa mkuu...ukiwa mvivu wa kujifunza hata kitu rahisi kitakushinda.
Jana ofisini nimewa’hotspot watu watatu na kuwadownloadia Vpn kupitia browser na hao wote ni watumiaji wa Android.
Sasa pamoja na huo urahisi lakini kuna watu wa Android bado hawana hizo simple basics za installation ya Apps kupitia browser.
 
Ila wa apple ndo wamezidi
 
Jipeni moyo tu... na wewe sinkama chama chakavu tu... kila siku uko mtaani kusema unapendwa kumbe wala.. mtuache na iphone zetu
 
IMG_8559.png

Hapo nachagua tuu niruke na ipi.
 
Back
Top Bottom