Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Mkuu naomba kufahamu namna ya kuinstall VPN kwenye IOS [emoji1545]

Namna nyingine ya kuinstall ni kwa kutumia 3utools pc software,ni rahisi saana na very effective kuliko itune,
Pia kama una document by reedle(app)ile ina vpn inayofanya kazi vizuri kabisa,kwenye bar ya chin baada ya kufungua hiyo app utaona vpn then iturn on
IMG_0659.jpg

IMG_0639.jpg
 
acha kudanganya watu vpn zipo kibao app store hapa natumia iphone na vpn
 
Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!
Vipi kama unatumia Yahoo Mail badala ya Gmail na umeshapita umri wa kushinda unajiposti vipicha vyako instagram au unafuatilia issue, umbea na vi picha vya Mondi na Mobeto instagram?

bado utahitaji android
 
Team Droid till I DIE!
 
Team Droid till I DIE!
umeshindwa kujibu lolote

unaona hoja yako ilivyo dhaifu ?

sio kila mtu anahitaji GMAIL

na si kila mtu an interest ya kujiposti kala nini for lunch on instagram

au kufuatili maisha ya instagram ya wasanii
 
umeshindwa kujibu lolote

unaona hoja yako ilivyo dhaifu ?

sio kila mtu anahitaji GMAIL

na si kila mtu an interest ya kujiposti kala nini for lunch on instagram

au kufuatili maisha ya instagram ya wasanii
Kwahio ukitumia Yahoo ndio unakuwa tied na iPhone? Au sababu utumii instagram cmon man!
 
Vipi kama unatumia Yahoo Mail badala ya Gmail na umeshapita umri wa kushinda unajiposti vipicha vyako instagram au unafuatilia issue, umbea na vi picha vya Mondi na Mobeto instagram?

bado utahitaji android
Mkuu samahani kwa kuingilia,
Ila mimi binafsi iOS sijawahi kuipenda, ila simu zao nazipenda sana tu kiasi kwamba natamani watoe iPhone zinazotumia Android,
Na niwe mkweli kama Apple wakitoa device zinarun android mi nitanunua,
Juzi nilitaka kununua Macbook (All in One Desktop) nikamuuliza jamaa kama inaweza kutumia Windows Os aliponijibu tu nikaamua kuachana nayo,
Hivyo tatizo sio Device zao, tatizo ni Os wanayotumia,
Kifupi inabidi ukubaliane na interest za mtu binafsi,
Maana binafsi hata hizi samsung zenye edge display sijawahi kuzipenda ila jamaa ndo kaniambia nitumie kisha nione
 
Namna nyingine ya kuinstall ni kwa kutumia 3utools pc software,ni rahisi saana na very effective kuliko itune,
Pia kama una document by reedle(app)ile ina vpn inayofanya kazi vizuri kabisa,kwenye bar ya chin baada ya kufungua hiyo app utaona vpn then iturn onView attachment 1617014
View attachment 1617015
kiongozi hii mbona ina ofa ya 50mb 24hrs,au kuna namna ya kufanya???
 
Braza unatafuta pa
kutolea shibe au? Acha tabia za kichoko ku catch feelings.
kusema iphone users wako offline ni nini kama siyo kukurupuka

kama huna iphone tulia na tecno fuq 7 plus lako acha kufuatilia maisha ya watu
 
halafu vpn mimi kuna mazingira nikiamua naitumia kabla yata ya juzi kuzuiwa kwa mtandao
 
Back
Top Bottom