Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Ila wanaume tuna mzigo mzito [emoji848]

Umlishe
Umvishe
Pocket Money
Umtibu akiugua
Iphone 13 pro na bando juu
Umkojozee bao za kutoshaa
Etc..

Hayo yote mimi tu? We unanipa nn? Tena kama umenizalia afadhali ntaelewa majukum yangu.. ila hizi gube gube za mtaa? Hell to the no!

Kwan wote wanatimiza hayo wewe
Ila kuwa mwanaume kazi mi bora niliumbwa mwanamke tu[emoji23][emoji23] Ndio maana wanaume wengi wanaleft group kuwa mwanaume kazii
 
.
Screenshot_20230222-094244.jpg


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume wa kizazi hiki buree kabisa bora wa zamani
Uliona ile video mama mchungaji anasema wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume wapate mbelee
Hakuna alopita nilicheka sanaa

[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ujue tunajiamini tunazo za kutosha sema ninyi ndio poor play
 
Back
Top Bottom