Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Sikupingi Boss 😎, ndo mtulgeezee kamba siku moja moja mechi ikiwa mbovu funika kombe labda ana stress.. si sometime anakamia mpaka panawaka moto au sio?

Ila kama kila siku mchovuu aah hata me nakuunga kumrarua kofi yule brazamen 😁

Ni kweli sio kila siku mtapelekeana moto sana Hapana siku nyingine kawaida tu siku nyingine hakuna ,maana changamoto za maisha ni nyingi
 
Hapo zamani niliwah mnasa mtu kibao aliwah kukojoa nilipata hasira sana yaan mwanaume unashindwa kweli kujikaza ukasubiria mwenzio amalize
Ushawahi kupatwa uchungu wa uzazi? Wangapi wanaweza kujikaza?

Tuseme, mwanamke unashindwa kubeba jukumu lako la kijinsia?

Ikishindikana kwa mwanaume, viagra, mkongo, n.k vipo kama ilivyo mbinu za kuzaa bila uchungu zinavyozidi kushika hatamu!

Mdili na matatizoni yenu sasa, mmeshakuwa superwomen sugu!
 
Ndio maana siku hizi lile chama la kataa ndoa lina wachalii kibao. Ona majibu ya hawa mademu 😬
Ama kweli unajifariji [emoji1787]
Endelea kujifariji ni nzuri kwa Afya yako ya Akili

Hapo zamani niliwah mnasa mtu kibao aliwah kukojoa nilipata hasira sana yaan mwanaume unashindwa kweli kujikaza ukasubiria mwenzio amalize

Muuliwe tu hamna faida

😂😂😂😂
 
Ushawahi kupatwa uchungu wa uzazi? Wangapi wanaweza kujikaza?

Tuseme, mwanamke unashindwa kubeba jukumu lako la kijinsia?

Ikishindikana kwa mwanaume, viagra, mkongo, n.k vipo kama ilivyo mbinu za kuzaa bila uchungu zinavyozidi kushika hatamu!

Mdili na matatizoni yenu sasa, mmeshakuwa superwomen sugu!

Huwa tunajikaza Ee Ndio maana tunarudi tena Leba kuzaa
Ingekuwa nyie Ndio mnazaa msingerudia nawaambia wanawake tunapitia magumu sana
 
Back
Top Bottom