Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Hivi unajua siku hizi O level wa umendeni wanaiburuza sana Boys kwenye matokeo??

Ile Bwiru mlioiacha sio ya sasa hivi.
Madogo hawajielewi elewi.
Kuna watu walikua ni kusolve hesabu tu na masomo mengine hawasomi, na kweli walifanikiwa wakawa wanapata A hesabu ila masomo mengine ni D. Lengo kubwa ilikua ni wanataka wawe wanawakatia mende pindi.
 
He he he he
eti lengo lilikuwa kuwakatia mende pindi.

Nimekumbuka pia huo msemo.
 
Kuna watu walikua ni kusolve hesabu tu na masomo mengine hawasomi, na kweli walifanikiwa wakawa wanapata A hesabu ila masomo mengine ni D. Lengo kubwa ilikua ni wanataka wawe wanawakatia mende pindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walikuwa wanakatiana muda gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti wanawaza nini?
 
Kumbe sisi ndo tumesababisha, maana tulivyogoma ndo uji ukaaanza kuwekewa sukari[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walikuwa wanakatiana muda gani?
Wakati wa likizo, ila kuna kipindi waliwahi kamatwa usiku mende na boys wako somewhere wakadai wanasolve pepa la maths limevuja. Sasa sijui kama walikua wanasolve pepa kweli au ndo hivyo walikua wanapunguza...
 
Hahahahhahaah!
 
Umenikumbusha Ndimugwango, , mapembegashi, ng'ong'ong'o, Mr Kameo, ticha Beka, Masanja food, Masanja mkodoko etc

Boys a.k.a wadudu wa kwenye maharage
Hahahha! Jamani Ndimugwango alikuwaga best yangu sana, tulikuwa twamtania kama mwenzetu vile, Ng'ong'ong'o (Pumbavu)...Mkodoko mama wa mipasho[emoji23][emoji23]aisee
Mr.Kameo alikuwa anakutembezea mkong'oto kimya kimya tu....
 
Teh mr ndimu na msemo wake "unatepisha/ unatepu tepu" akianza kuponda kitini cha mganda na nyambari utacheka mweeh. Alikuwa swahiba sana na mashati yake hayajulikani kama ni long or short sleeves. Walipata tabu sana after alivyoenda kufanya masters yake uwii

Mkodoko ana vichambo yule jamani,
Mama ntagaye jamani, amazing sana. Bila kusahau hekaheka za kukimbizwa na vibaka, kuoga ziwani, na vyakula esp mikate kuliwa na ngedere. Kaka masanja na mama fortu suala zima la kitchen lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…