mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,521
- 1,927
Huyu alienda moshi tech ila nako walimuamisha maana nako alisababisha mgomoNa Ksuu ndiye aliyefanya mkakati maalumu wa kuimaliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alienda moshi tech ila nako walimuamisha maana nako alisababisha mgomoNa Ksuu ndiye aliyefanya mkakati maalumu wa kuimaliza.
Sasa hivi nasikia kastaafu anakula pensheni yake.Huyu alienda moshi tech ila nako walimuamisha maana nako alisababisha mgomo
Kuna watu walikua ni kusolve hesabu tu na masomo mengine hawasomi, na kweli walifanikiwa wakawa wanapata A hesabu ila masomo mengine ni D. Lengo kubwa ilikua ni wanataka wawe wanawakatia mende pindi.Hivi unajua siku hizi O level wa umendeni wanaiburuza sana Boys kwenye matokeo??
Ile Bwiru mlioiacha sio ya sasa hivi.
Madogo hawajielewi elewi.
He he he heKuna watu walikua ni kusolve hesabu tu na masomo mengine hawasomi, na kweli walifanikiwa wakawa wanapata A hesabu ila masomo mengine ni D. Lengo kubwa ilikua ni wanataka wawe wanawakatia mende pindi.
Mende walikua wanawazimikia watu wanaojua hesabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]He he he he
eti lengo lilikuwa kuwakatia mende pindi.
Nimekumbuka pia huo msemo.
Afadhari umenisaidia, kuna siku nimewahi muuliza Asigwa akanipotezea.Mende walikua wanawazimikia watu wanaojua hesabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi nini source ya jina la mende?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walikuwa wanakatiana muda gani?Kuna watu walikua ni kusolve hesabu tu na masomo mengine hawasomi, na kweli walifanikiwa wakawa wanapata A hesabu ila masomo mengine ni D. Lengo kubwa ilikua ni wanataka wawe wanawakatia mende pindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Ha ha ha ha
Hapana aiseee, uzee wa Kanisa na kutema pumba kote huku wapi na wapi??
Galz walikuwa wanataka wa mbali, Nsumba + Nyegezi seminary.....Nyie waliwazoea..Kila muda mwakutana kwenye mapango[emoji23][emoji23]Hakuna mbwembwe kwenye stage za maisha.
Mlikuwa mnatubania sana nyie watoto, yaani nyieeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23]eti wanawaza nini?Bwiru toka waondoe fororo na kuweka sukari kwenye uji nadhani akili za watu zilianza kuwaza uji tu.
Ha ha ha ha ha
Haiwezekani shule iwe ya 500 kitaifa aisee.
Hata kwenye mkoa tu humo humo haifurukuti.
Mimi nadhani madogo wangerudishiwa fororo akili zingerudi.
Oooh! Kumbee...Bado ipo
Kumbe sisi ndo tumesababisha, maana tulivyogoma ndo uji ukaaanza kuwekewa sukari[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwiru toka waondoe fororo na kuweka sukari kwenye uji nadhani akili za watu zilianza kuwaza uji tu.
Ha ha ha ha ha
Haiwezekani shule iwe ya 500 kitaifa aisee.
Hata kwenye mkoa tu humo humo haifurukuti.
Mimi nadhani madogo wangerudishiwa fororo akili zingerudi.
Wakati wa likizo, ila kuna kipindi waliwahi kamatwa usiku mende na boys wako somewhere wakadai wanasolve pepa la maths limevuja. Sasa sijui kama walikua wanasolve pepa kweli au ndo hivyo walikua wanapunguza...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walikuwa wanakatiana muda gani?
Hahahahhahaah!Wakati wa likizo, ila kuna kipindi waliwahi kamatwa usiku mende na boys wako somewhere wakadai wanasolve pepa la maths limevuja. Sasa sijui kama walikua wanasolve pepa kweli au ndo hivyo walikua wanapunguza...
Umenikumbusha Ndimugwango, , mapembegashi, ng'ong'ong'o, Mr Kameo, ticha Beka, Masanja food, Masanja mkodoko etcHahahahhahaah!
Shemeji mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]Umenikumbusha Ndimugwango, , mapembegashi, ng'ong'ong'o, Mr Kameo, ticha Beka, Masanja food, Masanja mkodoko etc
Poa shemeji, za masiku?Shemeji mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]
Hahahha! Jamani Ndimugwango alikuwaga best yangu sana, tulikuwa twamtania kama mwenzetu vile, Ng'ong'ong'o (Pumbavu)...Mkodoko mama wa mipasho[emoji23][emoji23]aiseeUmenikumbusha Ndimugwango, , mapembegashi, ng'ong'ong'o, Mr Kameo, ticha Beka, Masanja food, Masanja mkodoko etc
Boys a.k.a wadudu wa kwenye maharage
Salama,shem najua kaka hayupo nifikirie na mimi basi![emoji4][emoji4][emoji4]Poa shemeji, za masiku?
Hahahha! Jamani Ndimugwango alikuwaga best yangu sana, tulikuwa twamtania kama mwenzetu vile, Ng'ong'ong'o (Pumbavu)...Mkodoko mama wa mipasho[emoji23][emoji23]aisee
Mr.Kameo alikuwa anakutembezea mkong'oto kimya kimya tu....