Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Kwa mwili wako bro umepata kitambi!!! Kweli yalikuwa maisha magumu tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38], sishangai...Shule zina mengi hapo kuna masomo + chakula + stress za kujitakia na mengine mengi...Mwenyewe anadai alikuwa ni miongoni mwa wapiga chabo kwa gals huko miambani, hapo lazima mwili ukumbane na purukshani zisizo lazima[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Asigwa unakumbuka ulipigwa na yule jamaa pale mbele ya makongoro domitory dakik za mwisho kabla ya kumalza form four[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asigwa unakumbuka ulipigwa na yule jamaa pale mbele ya makongoro domitory dakik za mwisho kabla ya kumalza form four[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha
Nakumbuka sana aiseee

Jamaa anaitwa Shagari Shabani.
Tulikuwa marafiki sana tangu fom one mpaka form 4 mwishoni, jamaa tukazinguana, tukachenjiana, akanipa kichapo cha haja sana.

Ha ha ha ha
Maisha haya bana.

Kwa sasa ni rafiki yangu tena, tulikutana Mabibo Hostel yeye alikuwa Ardhi mimi nilikuwa UDSM, tukarudisha urafiki upya.

Maisha haya bana, yana safari ndefu sana aiseeee.
 
He he he he he
Kitambi hakikuja baada ya mambo kuwa mazuri.

Ila niliwekeza juhudu binafsi kukitafuta aiseee.
Nilikuja kugundua kuwa japo nina hela ila kwa kuwa sina kitambi nilikuwa siheshimiki.

Ikabidi nikitafute.
Nasisitiza, nimepata kitambi kwa juhudi binafsi.
teh teh teh
 
Alifariki 2010 nikiwa form 4 ht jeneza nililibeba
Inasikitisha sana aisee.
Nakumbuka miaka hiyo wamekufa wengi sana.

Ruhiye.
Mjomba.
Massaba.
Mabula.
Bosso.
Tozzi
Madam mmoja hivi alikuwa anafundisha English form one, nimemsahau jina.

Kwei kifo kinavuta watu aisee
 
Baunsa alitoka miezi sita badae, nimemaliza 2010 na alitoka akarudi pale pale na mwaka 2013 nilienda nkakuta ndo kafanywa mwalimu wa nidhamu
Kawa wa nidhamu.
Jamaa aivyo na hasira vile na ubabe ule si ataua wanafunzi aisee.

Ila uzuri wake huwa hanaga time na life ya mtu, yeye na ishu zake tu muda wote.
Labda ujuchanganye uingie 18 zake.
 
Hahahahahaha!
Hivi kuna dawa za asili za kuongeza vitambi?? Au mwenzetu ulitumia nini?

Halafu ulipotea ghafla baada tu ya weekend kuanza, inayeya nawe ndo unarudi[emoji38][emoji38]
 
Hahahahahaha!
Hivi kuna dawa za asili za kuongeza vitambi?? Au mwenzetu ulitumia nini?

Halafu ulipotea ghafla baada tu ya weekend kuanza, inayeya nawe ndo unarudi[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…