Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 16,078
- 77,186
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38], sishangai...Shule zina mengi hapo kuna masomo + chakula + stress za kujitakia na mengine mengi...Mwenyewe anadai alikuwa ni miongoni mwa wapiga chabo kwa gals huko miambani, hapo lazima mwili ukumbane na purukshani zisizo lazima[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa mwili wako bro umepata kitambi!!! Kweli yalikuwa maisha magumu tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]