Kwa consistency anaongoza city na Liverpool ila kwa mzunguko wa pili wa ligi arsenal na spurs walifanya vizuri sana!Lakini mwisho wa msimamo ulikuaje?? Unazungumzia match moja moja? Zungumzia team nzima na mfumo wake ki concistance,
Arsenal na totte haizifikii Chelsea.
Ukweli ndo huo.
Ndo maan nkakuuliza mwisho wa league msimamo ulikuaje? Mbna hujibu? Top 4 ijayo lazima Chelsea awepo ndani, panga panguaKwa consistency anaongoza city na Liverpool ila kwa mzunguko wa pili wa ligi arsenal na spurs walifanya vizuri sana!
Nimeona tena kwa ufasaha, nasemaje Chelsea msimu ujao Top 4 lazima awepo, kuwa mpoleeee ntakuja kukuuliza.cocastic umeona arsenal na spurs form yao last seasonView attachment 2296557
Kuna watu utawatoa pangoni πππ1. Man Utd
2. Chelsea
3. Man City
4. Liverpool
1. Simba
2. Azam
3. Geita
4. Coastal
NB: Kuna timu nimeona hazijielewi nikaona nizitoe tu kabisa!
Haha, bila shaka watakuja soonKuna watu utawatoa pangoni πππ
Kama tuliingia top 4 kipindi Cha Lampard tukiwa tumefungiwa kusajili na tukiwa hatuna mchezaji wetu Bora Hazard ambaye tulimuuza tutashindwa msimu tuna Moja Kati ya kocha Bora duniani Thomas Tuchel? hapo mzee umeongea ushabiki badala ya fact hata msimu uliopita tulipitia changamoto kubwa lasakata la kuwekewa vikwazo vya uchumi lakini pamoja na changamoto zote hizo tuliweza kushika nafasi ya 3cocastic umeona arsenal na spurs form yao last seasonView attachment 2296557
Sawa acha ligi ianze tuendelee kuona sterling atawaongezea nini?Kama tuliingia top 4 kipindi Cha Lampard tukiwa tumefungiwa kusajili na tukiwa hatuna mchezaji wetu Bora Hazard ambaye tulimuuza tutashindwa msimu tuna Moja Kati ya kocha Bora duniani Thomas Tuchel? hapo mzee umeongea ushabiki badala ya fact hata msimu uliopita tulipitia changamoto kubwa lasakata la kuwekewa vikwazo vya uchumi lakini pamoja na changamoto zote hizo tuliweza kushika nafasi ya 3
cocastic
Nashangaa mnamuweka Spurs wa nini? Mwaka huu atagimbania nafasi ya 9 na Crystal Palace.1- Man City
2- Liverpool
3- Tottenham Hotspur
4- Arsenal
N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
Haters mtautafuta sana mshikaki wenye mfupa.π1. ManCity
2. Spurs
3. Liverpool
4. Chelsea
NB:
Arteta atafukuzwa Arsenal