Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

Karibuni sana mie natokea upareni huko Usangi
 
Wale wote mnaeenda kibosho msipite kibosho road bila kunitafuta niwaoneshe chimbo langu jipya nalizindua kushoto mwa barabara inayopanda kibosho.
unafika Sambarai barabara ya Cm?
 
pamoja na yote, tafadhalini ndugu zanguni, acheni kuchinja ng'ombe/mbuzi na kwenda kutambika makaburini kwa kuamini babu/wazee waliokufa ndio wanaowasaidia kule mjini. Pia Epukeni ulevi

JESUS IS LORD!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…