Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

Ila umesahau kuwa wakati wa vita ya Tanzania na Nduli Idd Amin Dada alimsaidia Nduli kupigana vita na Tanzania, au unaona hilo kwako halina uzito maisha na mali za Watanzania unaona si mali kitu ukilinganisha na ulivyotaja.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hii mitanzania myweusi? Haina unafanya mchezo na rangi ya mtume.....
 

Takbiiiiir
 
Sikubaliani na yale mauwaji ya Gadaffi, ila alikuwa mbaguzi sasa kujenga misikiti kuna faida gani kwa wasioihitaji wala kuitumia?

Alikua anataka kulislimisha bara la Afrika. Akashindwa na kulegea
 



kweli wanawake wanavumilia mengi kuwa na mwanaume wa hivi?
 
Ndo maana dini yenu wengi hawana elimu sasa badala kujenga shule za kiislamu mfano au vyuo vikuu ww unafurahi msikitin ...uliwahi ona vatican wanajenga kanisa bila shule au hospital.....

Elimu dunia na elimu ahela zote muhimu nyie shida mnawaza elimu ahela ndo maana pwani umasikin na shule hakuna

Hiyo dini wasio na elimu ni wengi sababu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…