Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
Ili mradi Elimu bwanaHapo kwenye elimu weka sawa alisaidia elimu akhera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili mradi Elimu bwanaHapo kwenye elimu weka sawa alisaidia elimu akhera.
Was Bush? Tumlaani.
Ila umesahau kuwa wakati wa vita ya Tanzania na Nduli Idd Amin Dada alimsaidia Nduli kupigana vita na Tanzania, au unaona hilo kwako halina uzito maisha na mali za Watanzania unaona si mali kitu ukilinganisha na ulivyotaja.Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti.
Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa...
Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti Mkuuuubwa kabisa. Kiukweli Ghaddaf alikuwa jembe sana. Alitusaidia sana kupata elimu. Sioni kama kuna mtu mwingine ambaye ameendeleza hili jambo.
Naombea aje kiongozi mwingine shupavu atujengee Misikiti mingi zaidi. Na wale waliomuua Jembe wakifika Akhera wasipate kitu. Wahasiwe kabisa washenzi wale.
Angejenga hospitaliSasa kama ninyi hamtumii si ninyi? Sisi tunatumia.
Ila umesahau kuwa wakati wa vita ya Tanzania na Nduli Idd Amin Dada alimsaidia Nduli kupigana vita na Tanzania, au unaona hilo kwako halina uzito maisha na mali za Watanzania unaona si mali kitu ukilinganisha na ulivyotaja.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Si kazi yake. Hosp na ninyi mtibiwe? Kwani umeambiwa Hosp hazitoshi?
Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti.
Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa...
Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti Mkuuuubwa kabisa. Kiukweli Ghaddaf alikuwa jembe sana. Alitusaidia sana kupata elimu. Sioni kama kuna mtu mwingine ambaye ameendeleza hili jambo.
Naombea aje kiongozi mwingine shupavu atujengee Misikiti mingi zaidi. Na wale waliomuua Jembe wakifika Akhera wasipate kitu. Wahasiwe kabisa washenzi wale.
Sikubaliani na yale mauwaji ya Gadaffi, ila alikuwa mbaguzi sasa kujenga misikiti kuna faida gani kwa wasioihitaji wala kuitumia?
Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti.
Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa...
Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti Mkuuuubwa kabisa. Kiukweli Ghaddaf alikuwa jembe sana. Alitusaidia sana kupata elimu. Sioni kama kuna mtu mwingine ambaye ameendeleza hili jambo.
Naombea aje kiongozi mwingine shupavu atujengee Misikiti mingi zaidi. Na wale waliomuua Jembe wakifika Akhera wasipate kitu. Wahasiwe kabisa washenzi wale.
Ndo maana dini yenu wengi hawana elimu sasa badala kujenga shule za kiislamu mfano au vyuo vikuu ww unafurahi msikitin ...uliwahi ona vatican wanajenga kanisa bila shule au hospital.....Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti.