Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
Mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili.Hao kina Lazaro,Binti Yeiro na wengine waliofufuliwa si watupe siri za maisha ya huko baada ya kifo! Waliona nini huko?
Majibu yenu yapo kwenye Biblia, wala haijakaa kimya. Tofauti na matarajio yenu labda, kwenye Biblia hayo majibu hayajatolewa na Lazaro wala binti Yeriko. Yametolewa kwa namna tofauti.Tungepata walau update ya huko
Je ni salama,Au ukilala ndiyo umelala kama isemavyo na wengine???
Na je au kuna maisha yale Mapya ambayo kila mfu anayapitia?? (kuzimu)
Yaani ile tukifa tunaendawapi??
Mkuu kuna sehemu kidogo umenichanganya nataka kukuuliza maswali mawili.JESUS IS FAKE, ALSO HIS MIRACLE WAS FAKE TOO,COZ HE NEVER EXISTED IN REALLY HISTORY
Yaa ni kwl ukiwa na akil lazma uhojii huyo wanayemuita yesu alikuwa wapi?? kwann awe mweupe wakat hlo eneo la palestina ya leo lilikaliwa na mtu mweus kwa zaid ya miaka7000 kabla hata mzungu na mwarabu hajajua kujichamba wala kuvaa chupi,,huyo wanaemuita yesu ama jesus hana historia yoyote hapa dunian.tafuta kitabu chochote cha kihistoria hutoona ushahid wa kuwako mtu mweupe aliyesurubiwa hapo palestina a.k.a israel feki,,bal miaka ya 300 hiv AD naposema AD maana yake nikwa mujibu wa warumu karenda iliyoanza kuhesabiwa kuanzia kutengenezwa kwa kristo fek yesu miaka ya 2000 iliyopita,,sasa bas mwaka huo wa300 jumuiya za awa mabwana wakaitana ktk mkutano wa nincea uku lengo likiwa ni kubadir jina la ZEUS AMA ZEZUS na kulificha kwa kubadr heruf ya mwanzo ya Z' na kuweka J' ili kumfanya zeus aendelee kuabudiwa ndipo wakaleta JESUS..huyu ndie wakristo wavivu wa kusoma wanadai ndye yule mwan wa Mungu,,sikatai mwana wa Mungu nikwel aliwahi kujaa zamaani sana hata kabla ya uyo zeus wenu kuwepo, na huyu christo wa kwel alikuwa mtu mweusi toka Afrika na huyu anayo historia kuanzia ktk vtabu mpka nakala za biblia ya kwel ambayo haija editiwa na awo wajinga....muulizen papa wenu kwann walitoa baaz ya vitabu ktk biblia?? kwann biblia inakataza kuongeza ama kupunguza neno lolote lakn wao wanafanya hivyo??? [emoji23]
....ukwel mchungu jina la yesu ama jesus haliwez kukupa ufalme wa Mbingu maana ni pepo[emoji58] ambalo ukilitii kwa kuamn lazma utapona tena linanguv hata yakuondoa mapepo wenzake,.ili kuwa badaa wafuasi wake...
...I'M NOT BELIEVING JESUS,WHATEVER IS YESU IN SWAHIL OR ZEUS BY ORIGINAL NAME I DON'T CARE BCOZ HE NEVER EVER EXISTED....jesus is the most terrorist in the world
....SASA unatakiwa ujue kuwa kuna vifo aina 2 yaani kifo feki na original, kifo feki ni kupoteza nafsi mwilin kabla ya kufikisha umri sahh uliopangiwa na Muumba na kifo original ni kile ambacho mtu hufa yaan nafs na roho hutoweka mwilin baada ya umr sahh na kutimiza mission uliyoitiwa hapa dunian, so mtu akifa kifo OG hawez fufuliwa hata ukeshe unaomba,lkn kifo feki, mtu anaweza ,fufuliwa kama mwil wake haujaaribika, maana nafsi yake inakuwa bado iko duniana ikitanga tanga ama kama aliuwawa kichaw na kupelekwa usukulen anaweza rudishwa nafsi yake ktk mwl kuptia njia mbalimbali, na ujue kuw hakuna jehanamu wala pepo, mtu anapokufa anakuwa katoweka ktk limwengu zote,nikimaanisha limwengu ya mwl,nafs,na roho, na kupelekwa mahala ambako atakuwa mkiwa mpka sku ya hukumu, hiyo jehanam na pepo ni fake imagination zilizotungwa na shetan kuulaghai ulimwengu, na mara nying hutumiwa kw wale wanaosema walikufa na kufufuka sjui walikwenda mbingun na kuzim na kuuona moto mkubwa,jua kuwa ule moto na mbingu, ni fake ambayo imeundwa na shetan mwenyew kuwadanganya wanadamu, mpk sasa hakuna alie moton wala alie mbingun, acheni stor zakipuuz, anaejiona mjuaj wa maandiko aje anipinge tutapingana kwa maandiko na ushahidi tu...View attachment 1852272
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu unataka kupata updates kabisa ili kama ulikuwa mtu wa pombe na uzinzi uachane nazo kabisa ujiandae kwenda peponiTungepata walau update ya huko
Je ni salama,Au ukilala ndiyo umelala kama isemavyo na wengine???
Na je au kuna maisha yale Mapya ambayo kila mfu anayapitia?? (kuzimu)
Yaani ile tukifa tunaendawapi??
Maelezo Juu ya Bwana huyu Katika pande hizo mbili yana kiwango chake yanachofanana na mambo mengine kadhaa wa kadhaa hayashabihiani.Nimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
Majibu yenu yapo kwenye Biblia, wala haijakaa kimya. Tofauti na matarajio yenu labda, kwenye Biblia hayo majibu hayajatolewa na Lazaro wala binti Yeriko. Yametolewa kwa namna tofauti.
Kitu kikubwa cha kukumbuka na kuzingatia kama alivyosema Mshana Jr ni kujua tofauti na position ya mwili na roho baada ya mtu kufa.
Hebu someni katika Biblia kitabu cha Luka 16:19-31.
Katika mistari hiyo utaona yule tajiri (kumbuka hapa ni roho yake) anasimulia anachokiona baada ya kufa, mateso anayopata huku akimwona Lazaro akipata raha.
Kwa hiyo hapa tunaona wazi au tunasimuliwa kinachotokea mtu akiwa amekufa, japo hapa sio kupitia kwa mtu aliyefufuka/aliyefufuliwa ila kupitia mtu aliye katika wafu.
Mkuu Ukiangalia hicho kisa cha Lazaro hasa unapotafuta kujua kama mtu akifa huwa anajitambua au laWasaalaam
View attachment 1850356
Katika dini hizi kuu (Abrahamic) hakuna pande yoyote inayokataa uwepo wa Mtoto wa Mariamu Yesu wa Nazareth , historia na hadithi za maisha za Yesu/Issa zipo katika upande wa Dini kuu mbili hizi Uislam na Ukristo.
Maelezo Juu ya Bwana huyu Katika pande hizo mbili yana kiwango chake yanachofanana na mambo mengine kadhaa wa kadhaa hayashabihiani.
Katika Uislam pia Yesu anatambulika kama Mtume wa Mwenyezimungu ambaye alipewa , neno kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa Waja wa huyo M/Mungu.
Tunajifunza juu ya bwana huyu kwenye Biblia,Qur'an kwenye Sayansi na Hata katika Historia juu ya Bwana huyu ambaye alipewa Ishara ambazo hata Manabii na mitume wengine Hawakupata (kuponya wagonjwa, kufufua wafu N.K)
ikumbukwe si Biblia tu iaminiyo juu ya Miujiza ya Bwana Yesu
Qur'an inadokeza pia,
2:87
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Issa, mwana wa Mariamu, Ishara(miujiza) zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.
Lakini kuwa na miujiza kwa wajumbe wa Mwenyezimungu ni jambo la kawaida ili waumini wapate kuamini kupitia kwayo.
Mlengo wa nyuzi hii ulijikita kwa Huyu bwana Yesu ambae alikuwa na Miujiza mikubwa na ya kipekee, na Hapa swali linajikita kwenye Hili la kufufua wafu.
Ni dhahiri Bwana Yesu hakufufua mfu mmoja , bali ni wengi sana lakini kipo kisa maarufu cha Lazaro , ambacho Injili ya Yohanna pekee imekielezea hichi kisa kwa Upana kidogo. Nami nitapenda nikitumie kisa hicho.
Yohana 11:41
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
42
Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
43
Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
44
Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
Hapo anaelezewa Lazaro alipotolewa katika Wafu na Bwana Yesu
SWALI KUU HAPA NI KWAMBA
NINI MREJESHO WALIOKUJA NAO WAFU WALIOFUFULIWA , HUKO WALIKOKUWA?
Ukiachana na mafunzo tuyapatayo juu ya Uwepo wa M/Mungu na Kupitia miujiza kama hiyo.
Haijaandikwa katika histori hiyo kama ilivyoandikwa na mwandishi wa injili hiyo.
Ni wazi kwa mwandishi ilikuwa kwamba ni muhimu katika Histori hii.??
Histori inatuonyesha kwamba Wayahudi wengi walikuwa na mawazo tofauti juu ya ufufuo huo, Injili hii Iliandikwa yapata miaka sabini baada ya kupaa kwa Bwana Yesu.
Ufufuo wa Lazaro ni moja ya kielelezo cha mfululizo wa taarifa za kitheolojia. Katika histori hii Lazaro ndiye pekee ambaye hakusema, chochote.
Martha na Mariamu nduguze na Lazaro walipata kusema, Wayahudi nao walipata kuongea na Pia Yesu ameongea kuhusu Ufufu huo.
Lakini Lazaro ndiye aliyekaa kimya.
KAMA TUJUAVYO BWANA HAKUMFUFUA LAZARO PEKEE BALI WENGI AMBAO WENGINE HATUKUWAJUA
je ni vipi Mrejesho wa wafu hawa ,Walipata kusema nini? huko walikokuwa nini kiliwapata?? walijitambua?? au hawakujitambua?? Maisha ya Hali ya UFU yalikuwa vipi?
NB: Nyuzi hii haiko kwa Ajili ya kuleta mgongano wowote wa kiimani
daVinci XV
Huyo Luka aliambiwa na nani habari ya huyo tajiri ?? na ni luka yupi huyo unayemjua wewe ??
But lazaro came back to Life and that is exactly why the guy is asking what lazaro had to tell about Death since it is very likely that people close to him had to ask what Death is likeDead men tell no tales
and what happens in Vegas, stays in Vegas,
Kama kungekua na alichosema mngesikia.But lazaro came back to Life and that is exactly why the guy is asking what lazaro had to tell about Death since it is very likely that people close to him had to ask what Death is like
In this case, Dead men like Lazaro tell Tales.
Ni kweli lakini pia haizuii possibility ya lazaro kusema jambo na lisiandikwe. Ngoja tusubiri watu wajeKama kungekua na alichosema mngesikia.
Jibu nililojibu ni jibu la yote, (what happens in vegas stay in vegas! )
Ukimfufua mtu hawezi kukumbuka kitu chochote kilichotokea akiwa kwenye ulimwengu mwingine, kitakachotokea ni kama uliweka movie Pause sasa ume RESUME itaendelea ilipoishia.
Hakuna alichosema ndugu yangu, hata hao watu wakija watasubiri kama ww unavyosubiri.. DEAD MEN TELL NO TALES!Ni kweli lakini pia haizuii possibility ya lazaro kusema jambo na lisiandikwe. Ngoja tusubiri watu waje
Sio holi ya n'gombe holi ya kulia n'gombe. Sio zizini kwenye uchafuNimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
Wote sawa tu.Hivi inawezekana Maria wa Biblia na Marium wa Quran wakawa watu tofauti?
Hivi kwanini waislam huwa wanafosi Yesu awe Muislam?kwanini wasikomae Na Issa wao?Wote sawa tu.
Hata yule kipofu Alie kuwa akiomba malangoni pa mji aliulizwa na jamaa walio kuwepo eneo lile, umewezaje Kuona wakati wewe huoni toka utotoni mwako, jibu lake alisema hata Mimi simjui mtu Alie niponyesha,ila sauti alisikia na maelekezo alifuata; alinawa na akapona.Wasaalaam
View attachment 1850356
Katika dini hizi kuu (Abrahamic) hakuna pande yoyote inayokataa uwepo wa Mtoto wa Mariamu Yesu wa Nazareth , historia na hadithi za maisha za Yesu/Issa zipo katika upande wa Dini kuu mbili hizi Uislam na Ukristo.
Maelezo Juu ya Bwana huyu Katika pande hizo mbili yana kiwango chake yanachofanana na mambo mengine kadhaa wa kadhaa hayashabihiani.
Katika Uislam pia Yesu anatambulika kama Mtume wa Mwenyezimungu ambaye alipewa , neno kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa Waja wa huyo M/Mungu.
Tunajifunza juu ya bwana huyu kwenye Biblia,Qur'an kwenye Sayansi na Hata katika Historia juu ya Bwana huyu ambaye alipewa Ishara ambazo hata Manabii na mitume wengine Hawakupata (kuponya wagonjwa, kufufua wafu N.K)
ikumbukwe si Biblia tu iaminiyo juu ya Miujiza ya Bwana Yesu
Qur'an inadokeza pia,
2:87
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Issa, mwana wa Mariamu, Ishara(miujiza) zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.
Lakini kuwa na miujiza kwa wajumbe wa Mwenyezimungu ni jambo la kawaida ili waumini wapate kuamini kupitia kwayo.
Mlengo wa nyuzi hii ulijikita kwa Huyu bwana Yesu ambae alikuwa na Miujiza mikubwa na ya kipekee, na Hapa swali linajikita kwenye Hili la kufufua wafu.
Ni dhahiri Bwana Yesu hakufufua mfu mmoja , bali ni wengi sana lakini kipo kisa maarufu cha Lazaro , ambacho Injili ya Yohanna pekee imekielezea hichi kisa kwa Upana kidogo. Nami nitapenda nikitumie kisa hicho.
Yohana 11:41
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
42
Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
43
Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
44
Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
Hapo anaelezewa Lazaro alipotolewa katika Wafu na Bwana Yesu
SWALI KUU HAPA NI KWAMBA
NINI MREJESHO WALIOKUJA NAO WAFU WALIOFUFULIWA , HUKO WALIKOKUWA?
Ukiachana na mafunzo tuyapatayo juu ya Uwepo wa M/Mungu na Kupitia miujiza kama hiyo.
Haijaandikwa katika histori hiyo kama ilivyoandikwa na mwandishi wa injili hiyo.
Ni wazi kwa mwandishi ilikuwa kwamba ni muhimu katika Histori hii.??
Histori inatuonyesha kwamba Wayahudi wengi walikuwa na mawazo tofauti juu ya ufufuo huo, Injili hii Iliandikwa yapata miaka sabini baada ya kupaa kwa Bwana Yesu.
Ufufuo wa Lazaro ni moja ya kielelezo cha mfululizo wa taarifa za kitheolojia. Katika histori hii Lazaro ndiye pekee ambaye hakusema, chochote.
Martha na Mariamu nduguze na Lazaro walipata kusema, Wayahudi nao walipata kuongea na Pia Yesu ameongea kuhusu Ufufu huo.
Lakini Lazaro ndiye aliyekaa kimya.
KAMA TUJUAVYO BWANA HAKUMFUFUA LAZARO PEKEE BALI WENGI AMBAO WENGINE HATUKUWAJUA
je ni vipi Mrejesho wa wafu hawa ,Walipata kusema nini? huko walikokuwa nini kiliwapata?? walijitambua?? au hawakujitambua?? Maisha ya Hali ya UFU yalikuwa vipi?
NB: Nyuzi hii haiko kwa Ajili ya kuleta mgongano wowote wa kiimani
daVinci XV
Sababu kuu ni binadamu ni mfano wa MUNGU. ukifananisha kikaragosi na binadamu bila shaka havita kuwa sawa. MUNGU amekupa utashi inatosha japo huo utashi mnautumua vibaya kwa kutengeneza Kila aina ya kutaka kuangamiza dunia mara twendeni kwa MUNGU sijui Nani aliwaeleza kujenga mnara ndio njia ya kufika kwa Alie kuumba kwa mfano. Swali lako ni yaleyale ya mnara wa Babel. Binadamu na utashi wake kumbe ni mfano yeye hajitambui.Hivi Mungu kwanini akutuumba tunamjua yeye bila kufundishwa popote.
Kama Lumumbashi ni Dareslam sawa ikiwa sio sawa nadhani Madina sio Nazareti. Wacha mambo wewe.Hivi inawezekana Maria wa Biblia na Marium wa Quran wakawa watu tofauti?