Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Wewe niambie ni Luka yupi?Sasa kama hujui ni Luka yupi anayezungumziwa hapa, utajuaje aliambiwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe niambie ni Luka yupi?Sasa kama hujui ni Luka yupi anayezungumziwa hapa, utajuaje aliambiwa na nani?
Hiyo hukumu unayoongelea ambayo wafu wanaisubiri ataitoa nani? Unasema Yesu wa kweli alikuwa Muafrika na aliishi miaka 2000 iliyopita, sasa kwa nini hapo hapo umehitimisha ukisema huliamini jina Yesu?JESUS IS FAKE, ALSO HIS MIRACLE WAS FAKE TOO,COZ HE NEVER EXISTED IN REALLY HISTORY
Yaa ni kwl ukiwa na akil lazma uhojii huyo wanayemuita yesu alikuwa wapi?? kwann awe mweupe wakat hlo eneo la palestina ya leo lilikaliwa na mtu mweus kwa zaid ya miaka7000 kabla hata mzungu na mwarabu hajajua kujichamba wala kuvaa chupi,,huyo wanaemuita yesu ama jesus hana historia yoyote hapa dunian.tafuta kitabu chochote cha kihistoria hutoona ushahid wa kuwako mtu mweupe aliyesurubiwa hapo palestina a.k.a israel feki,,bal miaka ya 300 hiv AD naposema AD maana yake nikwa mujibu wa warumu karenda iliyoanza kuhesabiwa kuanzia kutengenezwa kwa kristo fek yesu miaka ya 2000 iliyopita,,sasa bas mwaka huo wa300 jumuiya za awa mabwana wakaitana ktk mkutano wa nincea uku lengo likiwa ni kubadir jina la ZEUS AMA ZEZUS na kulificha kwa kubadr heruf ya mwanzo ya Z' na kuweka J' ili kumfanya zeus aendelee kuabudiwa ndipo wakaleta JESUS..huyu ndie wakristo wavivu wa kusoma wanadai ndye yule mwan wa Mungu,,sikatai mwana wa Mungu nikwel aliwahi kujaa zamaani sana hata kabla ya uyo zeus wenu kuwepo, na huyu christo wa kwel alikuwa mtu mweusi toka Afrika na huyu anayo historia kuanzia ktk vtabu mpka nakala za biblia ya kwel ambayo haija editiwa na awo wajinga....muulizen papa wenu kwann walitoa baaz ya vitabu ktk biblia?? kwann biblia inakataza kuongeza ama kupunguza neno lolote lakn wao wanafanya hivyo??? [emoji23]
....ukwel mchungu jina la yesu ama jesus haliwez kukupa ufalme wa Mbingu maana ni pepo[emoji58] ambalo ukilitii kwa kuamn lazma utapona tena linanguv hata yakuondoa mapepo wenzake,.ili kuwa badaa wafuasi wake...
...I'M NOT BELIEVING JESUS,WHATEVER IS YESU IN SWAHIL OR ZEUS BY ORIGINAL NAME I DON'T CARE BCOZ HE NEVER EVER EXISTED....jesus is the most terrorist in the world
....SASA unatakiwa ujue kuwa kuna vifo aina 2 yaani kifo feki na original, kifo feki ni kupoteza nafsi mwilin kabla ya kufikisha umri sahh uliopangiwa na Muumba na kifo original ni kile ambacho mtu hufa yaan nafs na roho hutoweka mwilin baada ya umr sahh na kutimiza mission uliyoitiwa hapa dunian, so mtu akifa kifo OG hawez fufuliwa hata ukeshe unaomba,lkn kifo feki, mtu anaweza ,fufuliwa kama mwil wake haujaaribika, maana nafsi yake inakuwa bado iko duniana ikitanga tanga ama kama aliuwawa kichaw na kupelekwa usukulen anaweza rudishwa nafsi yake ktk mwl kuptia njia mbalimbali, na ujue kuw hakuna jehanamu wala pepo, mtu anapokufa anakuwa katoweka ktk limwengu zote,nikimaanisha limwengu ya mwl,nafs,na roho, na kupelekwa mahala ambako atakuwa mkiwa mpka sku ya hukumu, hiyo jehanam na pepo ni fake imagination zilizotungwa na shetan kuulaghai ulimwengu, na mara nying hutumiwa kw wale wanaosema walikufa na kufufuka sjui walikwenda mbingun na kuzim na kuuona moto mkubwa,jua kuwa ule moto na mbingu, ni fake ambayo imeundwa na shetan mwenyew kuwadanganya wanadamu, mpk sasa hakuna alie moton wala alie mbingun, acheni stor zakipuuz, anaejiona mjuaj wa maandiko aje anipinge tutapingana kwa maandiko na ushahidi tu...View attachment 1852272
Hahaha..bwana mdogo una mambo kwel kwel..unaonekana huelew a wala b..mana unatapa tapa kwenye andiko lako.JESUS IS FAKE, ALSO HIS MIRACLE WAS FAKE TOO,COZ HE NEVER EXISTED IN REALLY HISTORY

Utampingaje kwa hoja wakati yy mwenyewe hana hoja? Angetoa hoja kwanza yeye kisha tumpinge kwa hoja..jamaa amekuja na shutuma za kihistoria na picha za last sapaaaa tuu..hana analojua mana historia yenyeww kaunga ungani heri umeliona hilo mkuu
Ujue yawezekana hao jamaa hawa kuwa wamekufa kweli bali walizimia tu.Sasa kwa kipindi kile kutofautisha kati ya aliyekufa mazima na aliyezimia yawezekana ilikuwa ngumu.Mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili.Hao kina Lazaro,Binti Yeiro na wengine waliofufuliwa si watupe siri za maisha ya huko baada ya kifo! Waliona nini huko?
Waislamu wanadili na Yesu original siyo huyo Yesu mzungu.Hivi kwanini waislam huwa wanafosi Yesu awe Muislam?kwanini wasikomae Na Issa wao?
Yesu Original hakuwa Myahudi? Mzungu ni nani?Waislamu wanadili na Yesu original siyo huyo Yesu mzungu.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Myahudi original hawezi kuwa mzungu.Yesu Original hakuwa Myahudi? Mzungu ni nani?
AiseeeMyahudi original hawezi kuwa mzungu.
Mzee yesu akuzaliwa kwenye holi ya ng'ombe boss b hakuna maandishi ya biblia yanasema yesu kazaliwa kwenye holi bali biblia inasema aliwekwa kwenye holi ya ng'ombe!! Wapi alizaliwa biblia haijua soma kwa moyo utajuaNimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
Nashawishika kukuamini kwa kias flan.JESUS IS FAKE, ALSO HIS MIRACLE WAS FAKE TOO,COZ HE NEVER EXISTED IN REALLY HISTORY
Yaa ni kwl ukiwa na akil lazma uhojii huyo wanayemuita yesu alikuwa wapi?? kwann awe mweupe wakat hlo eneo la palestina ya leo lilikaliwa na mtu mweus kwa zaid ya miaka7000 kabla hata mzungu na mwarabu hajajua kujichamba wala kuvaa chupi,,huyo wanaemuita yesu ama jesus hana historia yoyote hapa dunian.tafuta kitabu chochote cha kihistoria hutoona ushahid wa kuwako mtu mweupe aliyesurubiwa hapo palestina a.k.a israel feki,,bal miaka ya 300 hiv AD naposema AD maana yake nikwa mujibu wa warumu karenda iliyoanza kuhesabiwa kuanzia kutengenezwa kwa kristo fek yesu miaka ya 2000 iliyopita,,sasa bas mwaka huo wa300 jumuiya za awa mabwana wakaitana ktk mkutano wa nincea uku lengo likiwa ni kubadir jina la ZEUS AMA ZEZUS na kulificha kwa kubadr heruf ya mwanzo ya Z' na kuweka J' ili kumfanya zeus aendelee kuabudiwa ndipo wakaleta JESUS..huyu ndie wakristo wavivu wa kusoma wanadai ndye yule mwan wa Mungu,,sikatai mwana wa Mungu nikwel aliwahi kujaa zamaani sana hata kabla ya uyo zeus wenu kuwepo, na huyu christo wa kwel alikuwa mtu mweusi toka Afrika na huyu anayo historia kuanzia ktk vtabu mpka nakala za biblia ya kwel ambayo haija editiwa na awo wajinga....muulizen papa wenu kwann walitoa baaz ya vitabu ktk biblia?? kwann biblia inakataza kuongeza ama kupunguza neno lolote lakn wao wanafanya hivyo??? [emoji23]
....ukwel mchungu jina la yesu ama jesus haliwez kukupa ufalme wa Mbingu maana ni pepo[emoji58] ambalo ukilitii kwa kuamn lazma utapona tena linanguv hata yakuondoa mapepo wenzake,.ili kuwa badaa wafuasi wake...
...I'M NOT BELIEVING JESUS,WHATEVER IS YESU IN SWAHIL OR ZEUS BY ORIGINAL NAME I DON'T CARE BCOZ HE NEVER EVER EXISTED....jesus is the most terrorist in the world
....SASA unatakiwa ujue kuwa kuna vifo aina 2 yaani kifo feki na original, kifo feki ni kupoteza nafsi mwilin kabla ya kufikisha umri sahh uliopangiwa na Muumba na kifo original ni kile ambacho mtu hufa yaan nafs na roho hutoweka mwilin baada ya umr sahh na kutimiza mission uliyoitiwa hapa dunian, so mtu akifa kifo OG hawez fufuliwa hata ukeshe unaomba,lkn kifo feki, mtu anaweza ,fufuliwa kama mwil wake haujaaribika, maana nafsi yake inakuwa bado iko duniana ikitanga tanga ama kama aliuwawa kichaw na kupelekwa usukulen anaweza rudishwa nafsi yake ktk mwl kuptia njia mbalimbali, na ujue kuw hakuna jehanamu wala pepo, mtu anapokufa anakuwa katoweka ktk limwengu zote,nikimaanisha limwengu ya mwl,nafs,na roho, na kupelekwa mahala ambako atakuwa mkiwa mpka sku ya hukumu, hiyo jehanam na pepo ni fake imagination zilizotungwa na shetan kuulaghai ulimwengu, na mara nying hutumiwa kw wale wanaosema walikufa na kufufuka sjui walikwenda mbingun na kuzim na kuuona moto mkubwa,jua kuwa ule moto na mbingu, ni fake ambayo imeundwa na shetan mwenyew kuwadanganya wanadamu, mpk sasa hakuna alie moton wala alie mbingun, acheni stor zakipuuz, anaejiona mjuaj wa maandiko aje anipinge tutapingana kwa maandiko na ushahidi tu...View attachment 1852272
Hahahahaha wewe ni miongoni mwa wale mliokubali binadam wa kwanz alkuwa NyaniJESUS IS FAKE, ALSO HIS MIRACLE WAS FAKE TOO,COZ HE NEVER EXISTED IN REALLY HISTORY

Za kuambiwa changanya na za kwako...
Wasaalaam
View attachment 1850356
Katika dini hizi kuu (Abrahamic) hakuna pande yoyote inayokataa uwepo wa Mtoto wa Mariamu Yesu wa Nazareth , historia na hadithi za maisha za Yesu/Issa zipo katika upande wa Dini kuu mbili hizi Uislam na Ukristo.
Maelezo Juu ya Bwana huyu Katika pande hizo mbili yana kiwango chake yanachofanana na mambo mengine kadhaa wa kadhaa hayashabihiani.
Katika Uislam pia Yesu anatambulika kama Mtume wa Mwenyezimungu ambaye alipewa , neno kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa Waja wa huyo M/Mungu.
Tunajifunza juu ya bwana huyu kwenye Biblia,Qur'an kwenye Sayansi na Hata katika Historia juu ya Bwana huyu ambaye alipewa Ishara ambazo hata Manabii na mitume wengine Hawakupata (kuponya wagonjwa, kufufua wafu N.K)
ikumbukwe si Biblia tu iaminiyo juu ya Miujiza ya Bwana Yesu
Qur'an inadokeza pia,
2:87
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Issa, mwana wa Mariamu, Ishara(miujiza) zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.
Lakini kuwa na miujiza kwa wajumbe wa Mwenyezimungu ni jambo la kawaida ili waumini wapate kuamini kupitia kwayo.
Mlengo wa nyuzi hii ulijikita kwa Huyu bwana Yesu ambae alikuwa na Miujiza mikubwa na ya kipekee, na Hapa swali linajikita kwenye Hili la kufufua wafu.
Ni dhahiri Bwana Yesu hakufufua mfu mmoja , bali ni wengi sana lakini kipo kisa maarufu cha Lazaro , ambacho Injili ya Yohanna pekee imekielezea hichi kisa kwa Upana kidogo. Nami nitapenda nikitumie kisa hicho.
Yohana 11:41
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
42
Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
43
Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
44
Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.
Hapo anaelezewa Lazaro alipotolewa katika Wafu na Bwana Yesu
SWALI KUU HAPA NI KWAMBA
NINI MREJESHO WALIOKUJA NAO WAFU WALIOFUFULIWA , HUKO WALIKOKUWA?
Ukiachana na mafunzo tuyapatayo juu ya Uwepo wa M/Mungu na Kupitia miujiza kama hiyo.
Haijaandikwa katika histori hiyo kama ilivyoandikwa na mwandishi wa injili hiyo.
Ni wazi kwa mwandishi ilikuwa kwamba ni muhimu katika Histori hii.??
Histori inatuonyesha kwamba Wayahudi wengi walikuwa na mawazo tofauti juu ya ufufuo huo, Injili hii Iliandikwa yapata miaka sabini baada ya kupaa kwa Bwana Yesu.
Ufufuo wa Lazaro ni moja ya kielelezo cha mfululizo wa taarifa za kitheolojia. Katika histori hii Lazaro ndiye pekee ambaye hakusema, chochote.
Martha na Mariamu nduguze na Lazaro walipata kusema, Wayahudi nao walipata kuongea na Pia Yesu ameongea kuhusu Ufufu huo.
Lakini Lazaro ndiye aliyekaa kimya.
KAMA TUJUAVYO BWANA HAKUMFUFUA LAZARO PEKEE BALI WENGI AMBAO WENGINE HATUKUWAJUA
je ni vipi Mrejesho wa wafu hawa ,Walipata kusema nini? huko walikokuwa nini kiliwapata?? walijitambua?? au hawakujitambua?? Maisha ya Hali ya UFU yalikuwa vipi?
NB: Nyuzi hii haiko kwa Ajili ya kuleta mgongano wowote wa kiimani
daVinci XV
mbona tunamjua bila kufundishwa toka mwanzoHivi Mungu kwanini akutuumba tunamjua yeye bila kufundishwa popote.
kwan yesu akiwa mweusi inaondoa ukwel kuwa alikua nabii kutoka kwa Mungu?JESUS IS FAKE, ALSO HIS MIRACLE WAS FAKE TOO,COZ HE NEVER EXISTED IN REALLY HISTORY