Wale waliofufuliwa walipata kusema nini huko walikokuwa?

Wengi huwa wanalazimisha kuonyesha hawa watu wawili tofauti kabisa ni mtu mmoja ili kuleta utangamano wa kidini ila ni uongo mtupu
Nimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
 
Mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili.Hao kina Lazaro,Binti Yeiro na wengine waliofufuliwa si watupe siri za maisha ya huko baada ya kifo! Waliona nini huko?
Tungepata walau update ya huko
Je ni salama,Au ukilala ndiyo umelala kama isemavyo na wengine???

Na je au kuna maisha yale Mapya ambayo kila mfu anayapitia?? (kuzimu)

Yaani ile tukifa tunaendawapi??
Majibu yenu yapo kwenye Biblia, wala haijakaa kimya. Tofauti na matarajio yenu labda, kwenye Biblia hayo majibu hayajatolewa na Lazaro wala binti Yeriko. Yametolewa kwa namna tofauti.

Kitu kikubwa cha kukumbuka na kuzingatia kama alivyosema Mshana Jr ni kujua tofauti na position ya mwili na roho baada ya mtu kufa.

Hebu someni katika Biblia kitabu cha Luka 16:19-31.
Katika mistari hiyo utaona yule tajiri (kumbuka hapa ni roho yake) anasimulia anachokiona baada ya kufa, mateso anayopata huku akimwona Lazaro akipata raha.

Kwa hiyo hapa tunaona wazi au tunasimuliwa kinachotokea mtu akiwa amekufa, japo hapa sio kupitia kwa mtu aliyefufuka/aliyefufuliwa ila kupitia mtu aliye katika wafu.
 
Mkuu kuna sehemu kidogo umenichanganya nataka kukuuliza maswali mawili.
1.Wewe ni mtu wa dini gani?
2.Umesema mtu akifa hakuna pepo wala jehanamu,lakini ukasema kutakuwa na siku ya hukumu.
Je kwenye hiyo siku ya hukumu kutafanyika nini?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Tungepata walau update ya huko
Je ni salama,Au ukilala ndiyo umelala kama isemavyo na wengine???

Na je au kuna maisha yale Mapya ambayo kila mfu anayapitia?? (kuzimu)

Yaani ile tukifa tunaendawapi??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu unataka kupata updates kabisa ili kama ulikuwa mtu wa pombe na uzinzi uachane nazo kabisa ujiandae kwenda peponi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Nimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
Maelezo Juu ya Bwana huyu Katika pande hizo mbili yana kiwango chake yanachofanana na mambo mengine kadhaa wa kadhaa hayashabihiani.
 

Huyo Luka aliambiwa na nani habari ya huyo tajiri ?? na ni luka yupi huyo unayemjua wewe ??
 
Good stuff, nadhani Yesu mwenyewe alisema Lazaro hajafa amelala, so tuanzie hapo
 
Mkuu Ukiangalia hicho kisa cha Lazaro hasa unapotafuta kujua kama mtu akifa huwa anajitambua au la
Ukisoma Yohana11:11 inasema
''Baada ya kusema haya Yesu aliongezea kusema, “Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini nakwenda kumwamsha.”
Hivyo unagundua neno kulala, nadhani hapo unaweza kujua kuwa kulala usingizi inakuwaje, unajitambua au hujitambui
Pia ukisoma Kitabu cha Mhubiri inasema

Mhubiri 9:10​

Kila unachotaka kufanya kifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima huko kuzimu unakokwenda.
Unaona hapo kuwa hakuna wazo ,wala maarifa,wala hekima
Mhubiri 9:5-6
5Maana, walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote. Hawana tuzo tena; hata kumbukumbu lao limesahauliwa kabisa. 6Upendo wao, chuki zao na tamaa zao, vyote vimetoweka pamoja nao, na wala hawatashiriki chochote hapa duniani.

Kwahivyo mtu akifa akafufuliwa ni kama alilala na sasa ameamshwa, hautakuwa na cha kuhadithia
 
Sasa kama hujui ni Luka yupi anayezungumziwa hapa, utajuaje aliambiwa na nani?
Huyo Luka aliambiwa na nani habari ya huyo tajiri ?? na ni luka yupi huyo unayemjua wewe ??
 
Dead men tell no tales
and what happens in Vegas, stays in Vegas,
But lazaro came back to Life and that is exactly why the guy is asking what lazaro had to tell about Death since it is very likely that people close to him had to ask what Death is like
In this case, Dead men like Lazaro tell Tales.
 
But lazaro came back to Life and that is exactly why the guy is asking what lazaro had to tell about Death since it is very likely that people close to him had to ask what Death is like
In this case, Dead men like Lazaro tell Tales.
Kama kungekua na alichosema mngesikia.
Jibu nililojibu ni jibu la yote, (what happens in vegas stay in vegas! )
Ukimfufua mtu hawezi kukumbuka kitu chochote kilichotokea akiwa kwenye ulimwengu mwingine, kitakachotokea ni kama uliweka movie Pause sasa ume RESUME itaendelea ilipoishia.
 
Ni kweli lakini pia haizuii possibility ya lazaro kusema jambo na lisiandikwe. Ngoja tusubiri watu waje
 
Nimeweka kituo hapo uliposema Yesu wa Nazareth ni huyohuyo Issa bin Maryam. Huku historia inaonesha wazi mmoja alizaliwa kwenye holi ya ng'ombe na mwingine chini ya mtende huko mashariki ya kati.
Sio holi ya n'gombe holi ya kulia n'gombe. Sio zizini kwenye uchafu
 
Hata yule kipofu Alie kuwa akiomba malangoni pa mji aliulizwa na jamaa walio kuwepo eneo lile, umewezaje Kuona wakati wewe huoni toka utotoni mwako, jibu lake alisema hata Mimi simjui mtu Alie niponyesha,ila sauti alisikia na maelekezo alifuata; alinawa na akapona.
 
Hivi Mungu kwanini akutuumba tunamjua yeye bila kufundishwa popote.
Sababu kuu ni binadamu ni mfano wa MUNGU. ukifananisha kikaragosi na binadamu bila shaka havita kuwa sawa. MUNGU amekupa utashi inatosha japo huo utashi mnautumua vibaya kwa kutengeneza Kila aina ya kutaka kuangamiza dunia mara twendeni kwa MUNGU sijui Nani aliwaeleza kujenga mnara ndio njia ya kufika kwa Alie kuumba kwa mfano. Swali lako ni yaleyale ya mnara wa Babel. Binadamu na utashi wake kumbe ni mfano yeye hajitambui.
 
Hivi inawezekana Maria wa Biblia na Marium wa Quran wakawa watu tofauti?
Kama Lumumbashi ni Dareslam sawa ikiwa sio sawa nadhani Madina sio Nazareti. Wacha mambo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…