colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
- Thread starter
-
- #41
Mmmh mungu atunusuru kwa kwelialafu unakuta mtu kama huyu na juhudi zote zakupambana na shetani eti analetewa ukimwi na mke wake wa ndoa....
nimewaza tu dadeq [emoji34][emoji34]
Mkuu hatulazimishani kuamin hapaSijui ni mimi tu ambaye hua siamini hizi nyuzi
Haha mkuu unavituko sna nani huyo akamilishe home work ?Jitahidi umalizie home work niliyokupa jana;kama bado hujaifanya jumatatu utapata shida sana!
wewe sii rijaliHabar zenu wakuu , natumai mko poa
Daah aisee ni hivi kweli mda mwengine shetani anazidiwa
Juzi wakat nipo safarin hivi mkoa flani tulifika late night stand so kwa sisi ambao hatuna wenyeji ilitubidi tu tuchkue gest ili asubuh tuendelee na safar zengine
Basi wakat tunaolizia wenyeji gest kuna mdada mmoja ambaye tangia safari inaanza hadi tumefika hatukubahatika hata kupeana salamu
Wakat tunaulizia gest iliyopo karibu bas mdada na yye akasogea tukawa wote
Jamaa katuelekeza hotel badala ya gest so kwa vile ni late night na tulikua na mizigo hatukua na jinsi ilibidi tu lazima tuchukue room hapo hpo hotel
Wakat nataka kulipia room mdada wa watu akanishauri tu share tu room ili kupunguza bajet maana cost ya hio room ya hotel hatukua tumeitarajia
Basi mwanaume sikufanya hiana nikamkubalia tuka share room
Aiseee siamini jinsi huu ubarid wa kipind hiki kma nimetoka asubh bila hata ya kumlazimisha sister anigaiye papuch angalau tu tupunguziane baridi
Nimekaa na demu hadi saa nne asubuh room bila hata kumshika mkono
Kweli sometimes shetani anakua hana nguvu
Hivi ingekua ni wewe je ungemuacha bila hata ya kuomba liwazo wakat upo full equiped ????
Mkuu wala sikufkiria kuomba kabisa yaanHata namba ya simu hujachukua mkuu
Ni wakawaida hivi ika kachura kipoAnalipa lakini huyo mwanamke?
Mkuu labda itakua hujaowa au ata km umeowa hukuowa umpendaeKweli Malaika Sometime wako kazini nawaza ingekuwa ni mimi Kungekucha kweli sema Hiyo nayo ni sehemu ya kutojielewa tu. Wanawake si wa kuwaacha hata kidogo labda awe ndg yako wa kuzaliwa au ukoo wako Vinginevyo hio dhambi ya kuacha mwanamke siiwezi
Changamsha genge tu..siku ziendeSijui ni mimi tu ambaye hua siamini hizi nyuzi
Labda wanawake marobotiKuzini kunaanzia kichwani, ukiweza ku control kichwa chako unaweza kulala na wanawake 100 wakiwa uchi hata usidindishe
Yote haya nafanyiwa ila nilifundishwa kwamba Wanawake wote ni wakushughulikia Anzia mtoto mdogo mwenye miaka 18 hadi bibi kizee anaetembea na mkongojo hayo mengine hayanihusu kabisaaaMkuu labda itakua hujaowa au ata km umeowa hukuowa umpendae
Uliwa na mke unaempenda yaan huo ugwadu wa ajabu ajabu kwa wengine unakua haupo hasa hasa ukiwa mda wote ukitaka unapewa na wife
So anavyoenda kuoga ilikuwaje?Ni wakawaida hivi ika kachura kipo
Si mbaya sna for human consuption
[emoji23]huo ndo U Getleman sasa, haijawah nitokea ila kdg tu itokee pale msavu, demu wakat anasagula mzee manguo yanatoa vumbi na alikua amevaa lichupi kubwa halaf jeusi tiii, yaan kaniki si kaniki pazia si pazia, nilipga chafya kama 11 hv bila kupumzika, Nilichomoka usiku huohuo nikaenda kulala na wapga debe, Yule nahc alikua mganga wa kienyej angenigeuza kuku yule mdada asee
Akijibu hili nitag plsSo anavyoenda kuoga ilikuwaje?
Auanaume au ufala huu?Huo ndio uanaume