Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

Habar zenu wakuu , natumai mko poa

Daah aisee ni hivi kweli mda mwengine shetani anazidiwa

Juzi wakat nipo safarin hivi mkoa flani tulifika late night stand so kwa sisi ambao hatuna wenyeji ilitubidi tu tuchkue gest ili asubuh tuendelee na safar zengine

Basi wakat tunaolizia wenyeji gest kuna mdada mmoja ambaye tangia safari inaanza hadi tumefika hatukubahatika hata kupeana salamu

Wakat tunaulizia gest iliyopo karibu bas mdada na yye akasogea tukawa wote

Jamaa katuelekeza hotel badala ya gest so kwa vile ni late night na tulikua na mizigo hatukua na jinsi ilibidi tu lazima tuchukue room hapo hpo hotel

Wakat nataka kulipia room mdada wa watu akanishauri tu share tu room ili kupunguza bajet maana cost ya hio room ya hotel hatukua tumeitarajia

Basi mwanaume sikufanya hiana nikamkubalia tuka share room

Aiseee siamini jinsi huu ubarid wa kipind hiki kma nimetoka asubh bila hata ya kumlazimisha sister anigaiye papuch angalau tu tupunguziane baridi


Nimekaa na demu hadi saa nne asubuh room bila hata kumshika mkono

Kweli sometimes shetani anakua hana nguvu

Hivi ingekua ni wewe je ungemuacha bila hata ya kuomba liwazo wakat upo full equiped ????
wewe sii rijali
 
Kweli Malaika Sometime wako kazini nawaza ingekuwa ni mimi Kungekucha kweli sema Hiyo nayo ni sehemu ya kutojielewa tu. Wanawake si wa kuwaacha hata kidogo labda awe ndg yako wa kuzaliwa au ukoo wako Vinginevyo hio dhambi ya kuacha mwanamke siiwezi
Mkuu labda itakua hujaowa au ata km umeowa hukuowa umpendae

Uliwa na mke unaempenda yaan huo ugwadu wa ajabu ajabu kwa wengine unakua haupo hasa hasa ukiwa mda wote ukitaka unapewa na wife
 
Mkuu labda itakua hujaowa au ata km umeowa hukuowa umpendae

Uliwa na mke unaempenda yaan huo ugwadu wa ajabu ajabu kwa wengine unakua haupo hasa hasa ukiwa mda wote ukitaka unapewa na wife
Yote haya nafanyiwa ila nilifundishwa kwamba Wanawake wote ni wakushughulikia Anzia mtoto mdogo mwenye miaka 18 hadi bibi kizee anaetembea na mkongojo hayo mengine hayanihusu kabisaaa
 
huo ndo U Getleman sasa, haijawah nitokea ila kdg tu itokee pale msavu, demu wakat anasagula mzee manguo yanatoa vumbi na alikua amevaa lichupi kubwa halaf jeusi tiii, yaan kaniki si kaniki pazia si pazia, nilipga chafya kama 11 hv bila kupumzika, Nilichomoka usiku huohuo nikaenda kulala na wapga debe, Yule nahc alikua mganga wa kienyej angenigeuza kuku yule mdada asee
[emoji23]
 
Back
Top Bottom