colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
- Thread starter
- #41
Mmmh mungu atunusuru kwa kwelialafu unakuta mtu kama huyu na juhudi zote zakupambana na shetani eti analetewa ukimwi na mke wake wa ndoa....
nimewaza tu dadeq [emoji34][emoji34]
Hata hivyo wife si mtu wa tamaa , ingawa binaadam si wakumpa gerentii