Wale waliowahi kuchangia room Guest na mtu usiemuelewa ambaye ni jinsia tofauti wakati wa kuwa safarini...

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwahiyo hata kuoga hamjaoga??
Mkuu kuoga tumeoga ila si kila mtu na mda wake ana akingia anakomea toilet akitoka na toilo yake unaangaliaga kwa mbali tu then unapotezea
 
Mkuu kuoga tumeoga ila si kila mtu na mda wake ana akingia anakomea toilet akitoka na toilo yake unaangaliaga kwa mbali tu then unapotezea
Aisee! Kumbe kuna mengi haujayasema, ebu tiririka hiyo hatua ya kupokezana kwenda kuiva.
 
Dah, umenkunbusha mbaali kweli kweli,
Long time, kuna demu nililala kwake for 3 days bila kum*****a, kila tukichat anagusia haamini kama alisalimika those days, namwambiaga nilimuona matawi saana na angentolea nje nikaaibika.
Basi bichwa linaviiimba, hajui tu expectations zangu hazikusoma.

She is still my good friend na naamini siku nkishikwa nna pa kikimbilia
 
Hakuna kitu mwanamke anajisikia VIBAYA KAMA ULALE NAE HALAFU umpuuze,,,anajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu...tena mnalala kwa Mara ya kwnz...

Hata ipite miaka kumi bado anakuwa hajasahau. Sijui kwa nini. Nadhani wanaamini lazima watongozwe ila wao ndiyo wawe waamuzi.
 
Na ukame huu nlioneo ningepata hiyo chance aisee nahisi sahiz dem angekuwa anaipepea papuchi yake
 
Sema naona mafisi yamewaka moto na tamaa kwa jamaa kutodandia chance[emoji23]
 
Ungekuwa unamgusisha-gusisha u-b-o-o kwenye makalio ungefanya ignition..na dem huko aliko anajua we ni hanithi sababu ulishindwa kuonyesha jitihada zozote...
 
Uzinzi siyo mzuri ila inaonekana wewe ni muoga sana... ulikua unasubiria mwanamke akuanze yeye...

Unless labda kama mmoja alilala chini na mwingine kitandani tena na nguo ngumu... ila kama wote mmelala kitanda kimoja na nguo nyepesi...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…