Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

Daaah uto bana
 
Mchambuzi uchwara😁😁
 
Huyu ni fwala wa kiwango cha sgr anajifanya mjuaji kumbe ni mbulula tu asiekuwa na mbele wala nyuma.
Nafurahi sana kila mara kukutana na Wapumbavu ( Fools ) kama Wewe ( wa mfano wako ) hapa JamiiForums.

Nakujibu kwa Kukuuliza hili Swali langu moja tu ambalo nakuomba 'Ulifowadi' pia kwa Majuha ( Idiots ) Wenzako na mnipe Majibu yenu.

Hivi ni kwanini 99.999% ya JamiiForums Members ambao MNANICHUKIA sana na mno Mimi GENTAMYCINE ndiyo mnaoongoza Kukimbilia Kufungua na Kusoma 'Threads' na mpaka 'posts' zangu 24/7 hapa JamiiForums?

Najua kinachowatesa, kinachowaumiza na kuwakera zaidi ni Kitendo cha Mwenyezi Mungu kuniumba GENTAMYCINE na 'Characters' zangu Kuu Nne ( 4 ) za....

1. Purely Talented
2. Charismatic Fella
3. Game Changer
4. Entertainer

Mungu kanibariki kile alichowanyima!!!
 
Akufatilie nani ww Mbwa,tuko humu kurelax kusoma na kuexchange ideas na watu tofauti tofauti,kwa hio niache kusoma kuchangia na kupost eti nianze kukufuatilia ww maskini ambae huna influence yeyote?ww kweli akili zako ziko matakoni.


Hoja yeyote ikiwa mezani nikiona kuna haja ya kuchangia nachangia either kwa kukosoa kusifia kuunga mkono or vyovyote vile bila kumuogopa yeyote wala kuhofia chochote.

Let me tell you something that you don't know,for you information humu ndani hakuna Mbwa,Kima,Kenge,wala Ndezi wa aina yeyote ambae ni threat kwangu kwa chochote ikiwemo ww Ibilisi mja laana.

Huna cha pekee chochote kile,huna usipesho wowote ule,huna ugenious wowote ule labda kinywa chako kimejaa kinyesi cha matusi dalili ambazo malezi yako hayajapimwa ktk mizani.

Kama una mawazo kuwa kuna MTU amejiunga humu ili kukufatilia ww utakuwa na matatizo ya akili aisee.na ukiona kuna watu wengi unakwaruzana nao ujue utakuwa na mtindio ubongo.

Yaani ni MTU unaeongoza na Ego,unajiona ni giants Fulani hivi hahahahaha Buddy enewei ngoja niishie hapa ila ww ni fwala kama mafwala wengine tu.

Nimemaliza
 
Una mapenzi na watu wanaolingana na KINATA MC.


Ufupi sio kilema.
 
Bandiko lako lote refu na lililojaa Pumba tupu limeshathibitisha kwa wenye Akili Kubwa hadi zimetuzidi kuwa Wewe ni Psychopath Case hivyo fanya hima uwahi kati ya Lutindi Mental Hospital ( Tanga ) au Mirembe Mental Hospital ( Dodoma ) kwa Matibabu ya haraka ili utupunguzie Wendawazimu hapa Jamvini wanaoongozwa na Wewe 'Tula Tula' sawa?
 
Kibu Denis ni mshambuliaji hatari kuliko hata Mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…