Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani, Wilayani na Mkoa pia enzi zangu ( zetu ) hizo.

Ni hapa hapa JamiiForums juzi katika moja ya Posts zangu Kumhusu Mchezaji Ousmane Papi Sakho na hata katika Uzi wangu mwingine Miezi kadhaa nilimsifia na Kumuelezea kwa Jicho la mbali, la Kiufundi na Kiubora Mchezaji Kibu Denis ila nikaambulia dhihaka na mpaka na Matusi vile vile.

Kauli yangu juu ya Mchezaji Kibu Denis kamwe haijawahi kubadilika na mara kwa mara nimekuwa nikisema kuwa huyu Mchezaji akijitambua, akkubali Kukosolewa, Kurekebishwa na kuongezewa Vitu vichache tu na Kocha Fundi na Mtaalam Pablo Franco basi hatokuwa tu ni Hazina Kubwa kwa Simba SC bali hata kwa Timu ya Taifa kwani ana Vitu vingi vizuri vya Mshambuliaji wa sasa na kupitia Yeye namuona Mbwana Samatta mpya na natabiri mapema kuwa Simba SC itatajiirika sana miaka Miwili ijayo kwa Kumuuza baada ya kutakiwa na Vilabu vikubwa na vya maana Afrika.

Mliokuwa mkinidhaki na kunitusi kwa Mimi Kumsifia Mchezaji Kibu Denis endeleeni kufanya hivyo, ila kama kuna Zawadi ya Kipekee kabisa ambayo Mwenyezi Mungu amenibariki nayo ( Kiumbaji ) ni kuwa na Jicho la Hatari na la Uhakika la Kuona mbali, Kuchambua na Kutathimini Jambo au Tukio lenye Uzito Kijamii.

Aliyemleta Kibu Denis Simba SC Asante.
 
Kibu hakuna kitu,Kibu ni Ditram Nchimbi mwenye rasta..tena afadhali ya Ditram ana kasi na nguvu zaidi kuliko kibu.

Magoli aliyofunga ni kwa vile Shikaro amekuwa pazia angekuwa Kaseja langoni pamoja na uzee wake asingefungwa magoli ya hovyo namna ile.

Goli ambalo Shikaro huwezi kumlaumu kwa uzembe wa mabeki ni lile LA kichwa cha Onyango tu ila mengine ni yake binafsi.so huwezi kumpa kibu sifa nyiingi asizokuwa nazo.

Mchezaji ambae anahitaji muda pale Simba ni Peter Banda basi.yule pekee ndie namuona akivaa Viatu vya Miqueson.anafundishika,umri wake unaruhusu,ananyumbulika,ana kipaji halisi cha soka.

Simba wanatakiwa wampe muda azoee mazingira,awe huru asicheze kwa presha ya kutafuta matokeo or ubingwa.ajione yuko nyumbani watukuja kumuuza Ulaya sio Al ahl tena.

Haya yote ni kama wakiendesha team ki professional sio mambo ya kugombana hadharani kocha mkuu na wasaidizi wake.
 
Sijasoma umeandika nn hasa ila kupitia kichwa cha habari najibu Kibu ni mchezaji lkn sio mchezaji mzuri.
Huna Jicho la Mpira acha Kunipotezea muda.

GENTAMYCINE nikimpenda Mchezaji huwa nina uhakika nae kama ninavyompenda Jonas Mkude na Ousmane Sakho.

au kama nimpendavyo Beki Dickson Job na Khalid Aucho kutoka kwa Watani zangu ( zetu ) Yanga SC.

Kibu Denis ni Hazina Kubwa Simba SC.
 
Kibu hakuna kitu,Kibu ni Ditram Nchimbi mwenye rasta..tena afadhali ya Ditram ana kasi na nguvu zaidi kuliko kibu...
Sasa kama tu kuandika Jina vyema Kipa Umeandika Shikaro badala ya Shikalo yanini GENTAMYCINE nipoteze muda wangu Kujibizana ( Kubishana ) na Mpuuzi ( Hopeless ) kama Wewe?
 
Mbumbumbu wametia aibu sana aisee kugombana hadharani kiasi kile?

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Nikiwa nawadharau na kuwaita Wapumbavu kumbe huwa sikosei au siwakosei na mnastahili hasa.

Mada iliyopo Mezani ya Kibu Denis cha ajabu Mnafiki na Juha Wewe unaongelea tukio la Kocha Pablo.
 
Kibu D nimchezaji mzur sana ila mm nilikuwa namuona anatatizo katika umaliziaji tu,ila sasa anazid kuonyesha kipaji chake namkubali sana Ras Kibu D namuombea azid kuonyesha kipaji zaid
 
Huwa napenda JF Critical Thinkers Members kama Wewe Mkuu. Ni kweli Kibu Denis ana Vitu vichache sana vya Kuviboresha na akivipatia ( akiviweza ) atakuwa ameshamaliza na atakuwa Msaada kwa Simba SC na Timu ya Taifa Stars huku akiwindwa na Vilabu vikubwa vya nje na pengine hata na vya Ulaya.
 
Ni suala la wakati tu ila nilichompenda ana improve haraka sana kuonyesha uwezo wake yule ni hazina kwenye timu yetu Kibu d yupo vizur,kuna dogo mmoja nae Banda yule nae muda sio mrefu atawaonesha watu maajabu
 
Kibu ni mchezaji ila so mzuri kiushndani, anacheza mipira ya ndondo nguvu nyingi akili kidogo, that's Y, anaweza kukokota mpira sanaa then akikutana na beki anayetumia akili Kariba ya Nondo & Inonga safari yake inaishia hapo na hatoi pass 'on/in time' yani mwenzake anafunguka muda sana ila jamaa anawavuta wapinzani hadi nafasi ya kupiga pass inakosekana
#Kibu akiweza kucheza mpira soft atatisha sana
 
Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani, Wilayani na Mkoa pia enzi zangu ( zetu ) hizo.

Ni hapa hapa JamiiForums juzi katika moja ya Posts zangu Kumhusu Mchezaji Ousmane Papi Sakho na hata katika Uzi wangu mwingine Miezi kadhaa nilimsifia na Kumuelezea kwa Jicho la mbali, la Kiufundi na Kiubora Mchezaji Kibu Denis ila nikaambulia dhihaka na mpaka na Matusi vile vile.

Kauli yangu juu ya Mchezaji Kibu Denis kamwe haijawahi kubadilika na mara kwa mara nimekuwa nikisema kuwa huyu Mchezaji akijitambua, akkubali Kukosolewa, Kurekebishwa na kuongezewa Vitu vichache tu na Kocha Fundi na Mtaalam Pablo Franco basi hatokuwa tu ni Hazina Kubwa kwa Simba SC bali hata kwa Timu ya Taifa kwani ana Vitu vingi vizuri vya Mshambuliaji wa sasa na kupitia Yeye namuona Mbwana Samatta mpya na natabiri mapema kuwa Simba SC itatajiirika sana miaka Miwili ijayo kwa Kumuuza baada ya kutakiwa na Vilabu vikubwa na vya maana Afrika.

Mliokuwa mkinidhaki na kunitusi kwa Mimi Kumsifia Mchezaji Kibu Denis endeleeni kufanya hivyo, ila kama kuna Zawadi ya Kipekee kabisa ambayo Mwenyezi Mungu amenibariki nayo ( Kiumbaji ) ni kuwa na Jicho la Hatari na la Uhakika la Kuona mbali, Kuchambua na Kutathimini Jambo au Tukio lenye Uzito Kijamii.

Aliyemleta Kibu Denis Simba SC Asante.
Ushangiliaji wa Kibu Denis unawapa homa Yanga aisee!😁😁
 
Huwa napenda JF Critical Thinkers Members kama Wewe Mkuu. Ni kweli Kibu Denis ana Vitu vichache sana vya Kuviboresha na akivipatia ( akiviweza ) atakuwa ameshamaliza na atakuwa Msaada kwa Simba SC na Timu ya Taifa Stars huku akiwindwa na Vilabu vikubwa vya nje na pengine hata na vya Ulaya.
Kumbe we jamaa ni mpuuzi namna hii.

Kwahiyo mtu akikubaliana na hoja zako ndo anakuwa critical thinker?
 
Huna Jicho la Mpira acha Kunipotezea muda.

GENTAMYCINE nikimpenda Mchezaji huwa nina uhakika nae kama ninavyompenda Jonas Mkude na Ousmane Sakho.

au kama nimpendavyo Beki Dickson Job na Khalid Aucho kutoka kwa Watani zangu ( zetu ) Yanga SC.

Kibu Denis ni Hazina Kubwa Simba SC.
Utopolo Wana matatizo vichwani mwao . Wana wivu wa kichawi.Yaani hata mtu afanye mazuri vipi wao ni kulaumu. Hapo atakwambia makambo ambae hana goli hata Moja ni bora zaidi kuliko kibu
 
Kumbe we jamaa ni mpuuzi namna hii.

Kwahiyo mtu akikubaliana na hoja zako ndo anakuwa critical thinker?
Huyu ni fwala wa kiwango cha sgr anajifanya mjuaji kumbe ni mbulula tu asiekuwa na mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom